Ni kweli kwamba Mbowe amelazimishwa na mfumo kugombea Uenyekiti CHADEMA?

Umewahi kufanya kazi na Mbowe? Yule kwenye hela ni shetani!! Usimlaumu Lissu
 
Mmachame tena, haachi hela
 
wale wanaowaza kwa hisia na mihemko hawawezi kukuelewa watakuita chawa wa mbowe ila uko sahihi.Kuna wakati kufanya mambo kwa usahihi ni muhimu kuliko kuongea sana.Mdomo ukizidi sana haujawai kujenga zaidi ya kubomoa.ndicho anachokifanya lissu.Itakua ana washauri wabaya na anaamini sana katika porojo za nimeambiwa hivi nimeambiwa vile bila uthibitisho hadi anakosa ustahimivu wakifikra mwisho wa siku ataharibu sifa yake mwenyewe.
 
Hizo ni hisia zako.Chama ni itikadi.Haya unayoyaona ni mambo yanayokuzwa na chawa wa lissu dhifi ya mbowe na mnachokifikiria nikwamba siasa ni uadui.kwahiyo inawezekana lissu akitoka chadema yeye ndio atapotea kuliko mnavyojiaminisha.Upepo wa umaarufu kwa wabongo unabebwa na matukio likipita nawao wanakusahau.usidangangwe na huo upepo.
 
Kama ni kweli basi ccm imeoza .yaani inahonga na kujigamba mbele ya takukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…