Ni kweli kwamba Mbowe amelazimishwa na mfumo kugombea Uenyekiti CHADEMA?

Ni kweli kwamba Mbowe amelazimishwa na mfumo kugombea Uenyekiti CHADEMA?

Tatizo kubwa la Lissu ni kushindwa kupanga mikakati ya muda mfupi na muda mrefu.

Ukimsikiliza Lissu kama kiongozi utagundua aliitaka nafasi ya Mwenyekiti taifa bila maandalizi sahihi.Lissu kama Makamu Mwenyekiti ana nafasi kubwa ya kurithi Mikoba ya mwenyekiti bila kutumia nguvu kubwa ambayo anaitumia sasa.
Lissu bila aibu anasema ndani ya Kamati kuu Heche,Lema,Msigwa na Wenje walikuwa na misimamo inayorandana na yeye.Anamlaumu Wenje kageuka.

Lissu badala ya kupigania ustawi wa chama kama Makamu Mwenyekiti alikuwa anapigania migogoro na utengano ndani ya chama kama sababu kubwa ya kumwangusha Mwenyekiti wake.Kwa maneno rahisi Lissu alishaunda kikundi chake cha kulazimisha mabadiliko ikiwemo kukibagaza chama.

Mpaka sasa hesabu zinamkataa kwa kiasi kikubwa labda miujiza itokee lakini kushindwa ni dhahiri.Lissu ana ushawishi mkubwa nje ya mifumo rasmi ya chama has huko club house.

Naliona anguko kubwa la kisiasa labda apatie tena hisani na viongozi wake wakuu ambao tayari wamejifunza mengi sana ikiwemo ukosefu wa adabu,shukrani na uungwana.
Umewahi kufanya kazi na Mbowe? Yule kwenye hela ni shetani!! Usimlaumu Lissu
 
Kuna tetesi kutoka viunga vya watu wakubwa kwamba mfumo (dola) imemtishia mzee Mbowe kuwa endapo hatagombea uenyekiti, basi wataweka hadharani asali yote aliyoilamba (miamala yote aliyopokea toka ccm/ serikali ktk nyakati tofauti tofauti za kutuliza dhoruba ya kisiasa nchini.

Siyo kwamba Mbowe haoni jinsi umma unavyomkataa na hajui madhara yake kwenye chama chake, lkn hana namna. Analipia asali aliyoilamba.

Je, kuna ukweli katika tetesi hizi??

Kama ni kweli, basi hii inanikumbusha wimbo mmoja wa Mzee Yusufu una kibwagizo kisemacho "umekunywa soda yangu mie, utanibeba leo".
Mmachame tena, haachi hela
 
Tatizo kubwa la Lissu ni kushindwa kupanga mikakati ya muda mfupi na muda mrefu.

Ukimsikiliza Lissu kama kiongozi utagundua aliitaka nafasi ya Mwenyekiti taifa bila maandalizi sahihi.Lissu kama Makamu Mwenyekiti ana nafasi kubwa ya kurithi Mikoba ya mwenyekiti bila kutumia nguvu kubwa ambayo anaitumia sasa.
Lissu bila aibu anasema ndani ya Kamati kuu Heche,Lema,Msigwa na Wenje walikuwa na misimamo inayorandana na yeye.Anamlaumu Wenje kageuka.

Lissu badala ya kupigania ustawi wa chama kama Makamu Mwenyekiti alikuwa anapigania migogoro na utengano ndani ya chama kama sababu kubwa ya kumwangusha Mwenyekiti wake.Kwa maneno rahisi Lissu alishaunda kikundi chake cha kulazimisha mabadiliko ikiwemo kukibagaza chama.

Mpaka sasa hesabu zinamkataa kwa kiasi kikubwa labda miujiza itokee lakini kushindwa ni dhahiri.Lissu ana ushawishi mkubwa nje ya mifumo rasmi ya chama has huko club house.

Naliona anguko kubwa la kisiasa labda apatie tena hisani na viongozi wake wakuu ambao tayari wamejifunza mengi sana ikiwemo ukosefu wa adabu,shukrani na uungwana.
wale wanaowaza kwa hisia na mihemko hawawezi kukuelewa watakuita chawa wa mbowe ila uko sahihi.Kuna wakati kufanya mambo kwa usahihi ni muhimu kuliko kuongea sana.Mdomo ukizidi sana haujawai kujenga zaidi ya kubomoa.ndicho anachokifanya lissu.Itakua ana washauri wabaya na anaamini sana katika porojo za nimeambiwa hivi nimeambiwa vile bila uthibitisho hadi anakosa ustahimivu wakifikra mwisho wa siku ataharibu sifa yake mwenyewe.
 
Nyie ndiyo mnajitekenya na kucheka. Leo hii Lissu akiamua kutoka CHADEMA basi itakufa rasmi. Mbowe amechokwa mpaka basi. Miaka 20 kwenye madaraka kiongozi hata uwe mzuri gani ni lazima utachosha watu na watakuchukia. Ni kweli Mbowe atakuwa amejenga mtandao wake ndani ya chama lakini hawa ni watu wachache sana. Chama siyo mtandao wa mwenyekiti bali chama ni wanachama na wapenzi. Akijidanganya na kukubali kusaidiwa na CCM kupora uchaguzi basi atabaki yeye mwenyewe na wafuasi wachache kama Lipumba. Haya mambo hayahitaji ujanja ujanja wa kibongo kama unavyotaka kuleta hapa.
Hizo ni hisia zako.Chama ni itikadi.Haya unayoyaona ni mambo yanayokuzwa na chawa wa lissu dhifi ya mbowe na mnachokifikiria nikwamba siasa ni uadui.kwahiyo inawezekana lissu akitoka chadema yeye ndio atapotea kuliko mnavyojiaminisha.Upepo wa umaarufu kwa wabongo unabebwa na matukio likipita nawao wanakusahau.usidangangwe na huo upepo.
 
Vitu 2, kwanza mfumo, pili familia kwa sababu Chadema ni saccos ya familia ya Mbowe.

Malengo yake ni kupiga ruzuku tu na pia mfumo kuntumia kama chombo chao cha propaganda.
1735153735689.png
... nini kama MPUNGA!? 😅
 
Kama ni kweli basi ccm imeoza .yaani inahonga na kujigamba mbele ya takukuru
 
Back
Top Bottom