Ni kweli kwamba Mch.Gwajima ametimka nchini?

Shida yako ni kuwa mtu wa ku copy na ku pest. Hii habari ilikuwa kwenye magazeti ya udaku wiki iliyopita leo hii umeileta kwa kumiingiza Dr.Nina wasiwasi na kiwango cha ufahamu wako.inawezekana hata mitihani ulinunua ukafika hapo ulipo?kama unataka uhakika si uende kanisani wake ukapate uhakika.Na kama umeisoma vizuri hiyo habari
inaweka wazi kuwa inadhaniwa na hakuna uhakika.

Kwa mwenye ufahamu anajua fika kuwa lengo lako sio Ngwajima bali lengo lako ni kumuandika vibaya Dr. Hongera nenda tena ka copy zingine ila zamu hii upeleke kulr habari mchanganyiko huku tuachie habari za siasa.
 
Hivi huyu Gwajima si ndiye yule aliyekuwa anashirikiana na Dr Slaa kujenga hospitali kwa njia za panya?
Yea,nakumbuka kuna kipindi dr slaa na hawara yke josephine walitaka kumtumia mch.gwajima na kanisa lake kusajili hospitali kuingiza vifaa kwa mgongo wa kanisa
 

Karibu sana kwenye mikutano ya Pastor Gwajima, kuanzia mwezi wa nane anaanza kuiteka Tanzania kwa mikutano ya injili na sasa atakuwa anaruka kwa Helikopta sio Hammer tena.

Nafikiri unafahamu kuwa mikutano yake huwa inajaza kuliko mwanasiasa yoyote hapa Tanzania na Tanzania lazima imrudie Mungu kwa injili ya Yesu.

Kanisa la Ufufuo na Uzima ambalo Pastor Gwajima ndie kiongozi kwa sasa linaongezeka kwa kasi kuliko makanisa yote Tanzania (Mega Church) na moja ya sababu ya kuongezeka huko ni hizi taarifa za uongo; Mungu amekuwa akizitumia taarifa hizi kwa faida yake, yeyote anayekuja na kumsikiliza jinsi anavyoliexpose neno la Mungu anabaki kanisa hilo maana huko alikotoka hajakutana na mtu anafundisha neno kama Pastor Gwajima, na ndio maana ya vita vyote hivi.
 
Nyie Visebengo wa Lumumba, jiangalieni,, Siku moja pamoja na mama zenu kuwa wanavaa visepe (umri umeenda) watachelewa kuludi nyumbani mtamsingizia Dr Slaa kwamba ndie aliekuwa nao sisi tunasoma taraatibu

BACK TANGANYIKA
 

Mungu wangu! kumbe mh Dr Slaa ni mkwepa kodi!
 
Kwani hii ni habari inatakiwa kuwa jukwaa hili la siasa?
 
Uache umbea

usitake kututoa kwenye mada, vitendo vya watu maarufu kama akina SLAA, GWAJIMA, Mzee wa DUBAI kuchukua wake za watu na hata kusaliti NDOA zao si vya kufumbia macho hata kidogo.
 
Dr Slaa, amekuwa akiombewa na Gwajima kwa muda mrefu maradhi yake ya mkono bila KUPONA!! Lakini gwajima
huwa anafufua Misukule.
 
Kweli imeandikwa. Wazinzi watashikamana na wazinzi wenzao. Gwajima Mzinzi akizini na Flora Mbasha anashirikiana na Mzinifu Slaa anayezini na Josephine Mushumbusi. Wanajuana hawa na kujuana kwao kunatokana na uzinifu

Wewe mpuuzi jiheshimu uheshimike,sawa....heshima ni kitu cha bure
 
Kweli imeandikwa. Wazinzi watashikamana na wazinzi wenzao. Gwajima Mzinzi akizini na Flora Mbasha anashirikiana na Mzinifu Slaa anayezini na Josephine Mushumbusi. Wanajuana hawa na kujuana kwao kunatokana na uzinifu
Birds of the same feathers fly together!!!
Wameudhalilisha sana wito wa kutumikia neno, hasa wanapoongoza waumini wengi.
Nani atakuwa na imani kwao sasa mke wake akisema anaenda kumwona Dr Slaa au Mch Gwajima.
Mbaya zaidi ni hisia za kumwonea vibaya mume wa Flora, huyu Bwana Mbasha kwa kweli Mungu amsaidie.
 
Kweli imeandikwa. Wazinzi watashikamana na wazinzi wenzao. Gwajima Mzinzi akizini na Flora Mbasha anashirikiana na Mzinifu Slaa anayezini na Josephine Mushumbusi. Wanajuana hawa na kujuana kwao kunatokana na uzinifu

ni lini akili zako zitabalehe?
 

mkuu, nimeamini waswahili hujuana kwa vilemba, mimi nilikuwa najiuliza sana, SLAA na GWAJIMA wana nini kinachowaunganisha hadi wawe marafiki wa Karibu mpaka Kanisa litumike kukwepa kulipa kodi ya vifaa vya ujenzi wa hospitali ya SLAA, eneo la mlalakuwa. Kumbe hawa jamaa wana sifa zinazofanana za kungonoka.
 
Kama nguvu angeshakuwa nayo, kachuja hana jipya tena labda nguvu ya mambo kama ya akina Gwajima.

kumbe unafki,akili za magamba zinakusumbua
usingekoment hivo.
Unaviamin viblog vinavyomilikiwa na watu km kina lemutuz au mbutanaanga?
Nenda MSALANI kwanza
 
Last edited by a moderator:
Kama ni Kweli basi 2015 Rais tunae....:A S wink:
 
Nyie Visebengo wa Lumumba, jiangalieni,, Siku moja pamoja na mama zenu kuwa wanavaa visepe (umri umeenda) watachelewa kuludi nyumbani mtamsingizia Dr Slaa kwamba ndie aliekuwa nao sisi tunasoma taraatibu

BACK TANGANYIKA

Mkuu, unapoteza muda wako bure, hawa hawasafishiki, unafikiri sala za MAHIMBO na MBASHA zitapita bure? lazima hawa walaaniwe.
 
kumbe unafki,akili za magamba zinakusumbua
usingekoment hivo.
Unabiamin viblog vinavyomilikiwa na watu km kina Le,mutuz au mbutanaanga?
Nenda MSALANI kwanza

Mkuu, hizi dharau za kudharau ujasiriamali wa watu wengine ndiyo unaosababisha mnapitiliza hadi kuchukua wake za watu, acheni hizo. Wewe blog unayoiamini ni ipi? ze UTAMU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…