Ni kweli kwamba Mch.Gwajima ametimka nchini?

Shida yako ni kuwa mtu wa ku copy na ku pest. Hii habari ilikuwa kwenye magazeti ya udaku wiki iliyopita leo hii umeileta kwa kumiingiza Dr.Nina wasiwasi na kiwango cha ufahamu wako.inawezekana hata mitihani ulinunua ukafika hapo ulipo?kama unataka uhakika si uende kanisani wake ukapate uhakika.Na kama umeisoma vizuri hiyo habari
inaweka wazi kuwa inadhaniwa na hakuna uhakika.

Kwa mwenye ufahamu anajua fika kuwa lengo lako sio Ngwajima bali lengo lako ni kumuandika vibaya Dr. Hongera nenda tena ka copy zingine ila zamu hii upeleke kulr habari mchanganyiko huku tuachie habari za siasa.
 
Hivi huyu Gwajima si ndiye yule aliyekuwa anashirikiana na Dr Slaa kujenga hospitali kwa njia za panya?
Yea,nakumbuka kuna kipindi dr slaa na hawara yke josephine walitaka kumtumia mch.gwajima na kanisa lake kusajili hospitali kuingiza vifaa kwa mgongo wa kanisa
 
Habari toka chanzo cha kuaminika kilichopo ndani ya kanisa la mchungaji huyo ni kuwa Gwajima hivi sasa ameshauza karibia robo tatu ya mali zake na kwamba moja kati ya magari yake ya kifahari huenda likanunuliwa na mwanamuziki Diamond.“Jamaa hivi tunavyoongea anaweza akawa ameshatoroka tayari, maana hili sakata limeanza kumwendea hovyo na wiki iliyopita kuna madalali walikuja hapa wakiitaka gari yake aina ya Hammer, wakidai kuwa inataka kununuliwa na mwanamuziki Diamond,” kilisema chanzo cha habari hii.

Kikaendelea kumwaga data kuwa karibu wiki zima lililopita mchungaji huyo alikuwa kwenye mipango ya kuuza baadhi ya nyumba zake na kwamba hata familia yake hivi sasa haiko kwenye makazi yake anayoishi siku zote…“Hata familia yake sijaiona karibu wiki mbili hapa kanisani na taarifa tulizonazo karibu waumini wengi tu ni kwamba jamaa anataka kuhama nchi lakini hatujui ni nchi gani anayotaka kwenda kufanya makazi yake tena ya kudumu,” alisema.
Habari hizo zinadai kuwa baadhi ya waumini wamepanga kugawana mali kadhaa za kanisa pamoja na za Gwajima mwenyewe endapo itagundukia kuwa ametoroka kweli….​
“Kuna baadhi ya waumini wamekerwa sana na hii skendo ya Flora Mbasha, wamekuwa wakijiapiza kwamba hata zile mali zake ni halali yao kwani zinatokana na sadaka wanazotoa kila siku, inasikitisha sana kwa kweli.” alisema mtoa habai hii.Inasemekana kuwa mchungaji Gwajima amepanga kuwaaga waumini wake kama vile anakwenda kueneza neno katika mataifa mengine, lakini ukweli ni kwamba anataka kuondoka ili kukwepa aibu kutokana na mambo yanayoendelea…

“Jamaa yupo kwenye hali ngumu, hii ishu ya Flora Mbasha imemuweka katika wakati mgumu sana kwa sababu amekuwa akinyooshewa vidole sana, na kuna baadhi ya wazee wamekuwa wakimtaka atoe tamko rasmi ili kukwepa hiki kikombe cha aibu,” kilisema chanzo hicho.

Mwandishi alimpigia simu Gwajima lakini simu yake haikupatikana, na hata Diamond naye alipopigiwa simu ili kujua kama kweli anataka kununua gari la Gwajima, simu yake iliita bila kupokelewa na hata alipotumiwa ujumbe mfupi hakujibu kitu

Moja ya magari ambayo mchungaji anauza ni hili hapa:
View attachment 172795

Flora na Mumewe Mbasha, enzi la uhai wa mapenzi yao.
View attachment 172796

source: Paparazi
Itakumbukwa kuwa Mchungaji Gwajima ndiye alikuwa akitumiwa na Dr. SLAA kwa ajili kuingiza vifaa kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya kisasa eneo la Mlalakuwa kwa mgongo wa kanisa ili visitozwe kodi.

Mwenye uhakika wa habari hizi za mchungaji kutimka atujuze

Karibu sana kwenye mikutano ya Pastor Gwajima, kuanzia mwezi wa nane anaanza kuiteka Tanzania kwa mikutano ya injili na sasa atakuwa anaruka kwa Helikopta sio Hammer tena.

Nafikiri unafahamu kuwa mikutano yake huwa inajaza kuliko mwanasiasa yoyote hapa Tanzania na Tanzania lazima imrudie Mungu kwa injili ya Yesu.

Kanisa la Ufufuo na Uzima ambalo Pastor Gwajima ndie kiongozi kwa sasa linaongezeka kwa kasi kuliko makanisa yote Tanzania (Mega Church) na moja ya sababu ya kuongezeka huko ni hizi taarifa za uongo; Mungu amekuwa akizitumia taarifa hizi kwa faida yake, yeyote anayekuja na kumsikiliza jinsi anavyoliexpose neno la Mungu anabaki kanisa hilo maana huko alikotoka hajakutana na mtu anafundisha neno kama Pastor Gwajima, na ndio maana ya vita vyote hivi.
 
Nyie Visebengo wa Lumumba, jiangalieni,, Siku moja pamoja na mama zenu kuwa wanavaa visepe (umri umeenda) watachelewa kuludi nyumbani mtamsingizia Dr Slaa kwamba ndie aliekuwa nao sisi tunasoma taraatibu

BACK TANGANYIKA
 
Habari toka chanzo cha kuaminika kilichopo ndani ya kanisa la mchungaji huyo ni kuwa Gwajima hivi sasa ameshauza karibia robo tatu ya mali zake na kwamba moja kati ya magari yake ya kifahari huenda likanunuliwa na mwanamuziki Diamond.“Jamaa hivi tunavyoongea anaweza akawa ameshatoroka tayari, maana hili sakata limeanza kumwendea hovyo na wiki iliyopita kuna madalali walikuja hapa wakiitaka gari yake aina ya Hammer, wakidai kuwa inataka kununuliwa na mwanamuziki Diamond,” kilisema chanzo cha habari hii.

Kikaendelea kumwaga data kuwa karibu wiki zima lililopita mchungaji huyo alikuwa kwenye mipango ya kuuza baadhi ya nyumba zake na kwamba hata familia yake hivi sasa haiko kwenye makazi yake anayoishi siku zote…“Hata familia yake sijaiona karibu wiki mbili hapa kanisani na taarifa tulizonazo karibu waumini wengi tu ni kwamba jamaa anataka kuhama nchi lakini hatujui ni nchi gani anayotaka kwenda kufanya makazi yake tena ya kudumu,” alisema.
Habari hizo zinadai kuwa baadhi ya waumini wamepanga kugawana mali kadhaa za kanisa pamoja na za Gwajima mwenyewe endapo itagundukia kuwa ametoroka kweli….​
“Kuna baadhi ya waumini wamekerwa sana na hii skendo ya Flora Mbasha, wamekuwa wakijiapiza kwamba hata zile mali zake ni halali yao kwani zinatokana na sadaka wanazotoa kila siku, inasikitisha sana kwa kweli.” alisema mtoa habai hii.Inasemekana kuwa mchungaji Gwajima amepanga kuwaaga waumini wake kama vile anakwenda kueneza neno katika mataifa mengine, lakini ukweli ni kwamba anataka kuondoka ili kukwepa aibu kutokana na mambo yanayoendelea…

“Jamaa yupo kwenye hali ngumu, hii ishu ya Flora Mbasha imemuweka katika wakati mgumu sana kwa sababu amekuwa akinyooshewa vidole sana, na kuna baadhi ya wazee wamekuwa wakimtaka atoe tamko rasmi ili kukwepa hiki kikombe cha aibu,” kilisema chanzo hicho.

Mwandishi alimpigia simu Gwajima lakini simu yake haikupatikana, na hata Diamond naye alipopigiwa simu ili kujua kama kweli anataka kununua gari la Gwajima, simu yake iliita bila kupokelewa na hata alipotumiwa ujumbe mfupi hakujibu kitu

Moja ya magari ambayo mchungaji anauza ni hili hapa:
View attachment 172795

Flora na Mumewe Mbasha, enzi la uhai wa mapenzi yao.
View attachment 172796

source: Paparazi
Itakumbukwa kuwa Mchungaji Gwajima ndiye alikuwa akitumiwa na Dr. SLAA kwa ajili kuingiza vifaa kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya kisasa eneo la Mlalakuwa kwa mgongo wa kanisa ili visitozwe kodi.

Mwenye uhakika wa habari hizi za mchungaji kutimka atujuze

Mungu wangu! kumbe mh Dr Slaa ni mkwepa kodi!
 
Dr Slaa, amekuwa akiombewa na Gwajima kwa muda mrefu maradhi yake ya mkono bila KUPONA!! Lakini gwajima
huwa anafufua Misukule.
 
Kweli imeandikwa. Wazinzi watashikamana na wazinzi wenzao. Gwajima Mzinzi akizini na Flora Mbasha anashirikiana na Mzinifu Slaa anayezini na Josephine Mushumbusi. Wanajuana hawa na kujuana kwao kunatokana na uzinifu

Wewe mpuuzi jiheshimu uheshimike,sawa....heshima ni kitu cha bure
 
Kweli imeandikwa. Wazinzi watashikamana na wazinzi wenzao. Gwajima Mzinzi akizini na Flora Mbasha anashirikiana na Mzinifu Slaa anayezini na Josephine Mushumbusi. Wanajuana hawa na kujuana kwao kunatokana na uzinifu
Birds of the same feathers fly together!!!
Wameudhalilisha sana wito wa kutumikia neno, hasa wanapoongoza waumini wengi.
Nani atakuwa na imani kwao sasa mke wake akisema anaenda kumwona Dr Slaa au Mch Gwajima.
Mbaya zaidi ni hisia za kumwonea vibaya mume wa Flora, huyu Bwana Mbasha kwa kweli Mungu amsaidie.
 
ni lini akili zako zitabalehe?
 
mkuu, nimeamini waswahili hujuana kwa vilemba, mimi nilikuwa najiuliza sana, SLAA na GWAJIMA wana nini kinachowaunganisha hadi wawe marafiki wa Karibu mpaka Kanisa litumike kukwepa kulipa kodi ya vifaa vya ujenzi wa hospitali ya SLAA, eneo la mlalakuwa. Kumbe hawa jamaa wana sifa zinazofanana za kungonoka.
 
Kama nguvu angeshakuwa nayo, kachuja hana jipya tena labda nguvu ya mambo kama ya akina Gwajima.

kumbe unafki,akili za magamba zinakusumbua
usingekoment hivo.
Unaviamin viblog vinavyomilikiwa na watu km kina lemutuz au mbutanaanga?
Nenda MSALANI kwanza
 
Last edited by a moderator:
Kama ni Kweli basi 2015 Rais tunae....:A S wink:
 
Nyie Visebengo wa Lumumba, jiangalieni,, Siku moja pamoja na mama zenu kuwa wanavaa visepe (umri umeenda) watachelewa kuludi nyumbani mtamsingizia Dr Slaa kwamba ndie aliekuwa nao sisi tunasoma taraatibu

BACK TANGANYIKA

Mkuu, unapoteza muda wako bure, hawa hawasafishiki, unafikiri sala za MAHIMBO na MBASHA zitapita bure? lazima hawa walaaniwe.
 
kumbe unafki,akili za magamba zinakusumbua
usingekoment hivo.
Unabiamin viblog vinavyomilikiwa na watu km kina Le,mutuz au mbutanaanga?
Nenda MSALANI kwanza

Mkuu, hizi dharau za kudharau ujasiriamali wa watu wengine ndiyo unaosababisha mnapitiliza hadi kuchukua wake za watu, acheni hizo. Wewe blog unayoiamini ni ipi? ze UTAMU?
 
Back
Top Bottom