Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,403
- 4,373
Wewe mpuuzi jiheshimu uheshimike,sawa....heshima ni kitu cha bure
Kwani uongo? Slaa na Gwajima ni wazinifu. Haya vimba upasuke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mpuuzi jiheshimu uheshimike,sawa....heshima ni kitu cha bure
na wewe unawatetea IBILISI kama akina Gwajima?
si limeshakuchumbia wewe dadaDr slaa anaoa lini ?hili zee bure kabisa halafu anataka urais.
Mkuu, nimeipata kama ilvyo kwenye blog ya PAPARAZI, toa ushirikiano bila kujali inamgusa SLAA.
Hyo blog ni kama ile ya Le Mutuz wanapenda udaku sana.
Kwa hiyo!
Mkuu, unapoteza muda wako bure, hawa hawasafishiki, unafikiri sala za MAHIMBO na MBASHA zitapita bure? lazima hawa walaaniwe.
Dr Slaa, amekuwa akiombewa na Gwajima kwa muda mrefu maradhi yake ya mkono bila KUPONA!! Lakini gwajima
huwa anafufua Misukule.
Uache umbea
Kweli imeandikwa. Wazinzi watashikamana na wazinzi wenzao. Gwajima Mzinzi akizini na Flora Mbasha anashirikiana na Mzinifu Slaa anayezini na Josephine Mushumbusi. Wanajuana hawa na kujuana kwao kunatokana na uzinifu
Habari yenyewe ya siku nyingi hapo alikuwa ana mtarget Dr Slaa siasa za kibongo bana