Ni kweli kwamba Mch.Gwajima ametimka nchini?

Ni kweli kwamba Mch.Gwajima ametimka nchini?

Mbona unazunguka sana
Nenda moja kwa moja kwenye point
target yako ni Dr Slaa naona unazunguka kinoma
 
Dr Slaa anawafanya musilale, endeleni kujipa moyo na kujifariji nyie majuha.
 
Mkuu, unapoteza muda wako bure, hawa hawasafishiki, unafikiri sala za MAHIMBO na MBASHA zitapita bure? lazima hawa walaaniwe.

Mhalifu haishii kulaaniwa anashitakiwa kulingana na uhalifu alioutenda......

Je mlimchukulia hatua gani Dr Slaa baada ya kubainika kachukua mke wa mtu na amekwepa kodi? Tuambie hapa serikali ta mr DHAIFU ilichukua hatua gani kwa matendo hayo

Hivi wanaume rijali kabisa mnasimama hadharani kulalamika kuibiwa wake zenu? Mijanaume mingine mip.umbavu kweli.!!!!!!!

Ubora wa Mwanaume ni kashkash kutandani nasi kuwa na ndevu vinginevyo mwanamke yeyote yule atakukimbia tu mfano wewe hapo.... Muda wa kumshughulikia mkeo kisawasawa wewe unakuwa busy kuishambulia Chadema na Dr Slaa mitandaoni huku mkeo ametoka kuhadithiwa namna wenzske wanavyopewa huduma na wenzawao......Hivi unadhani atabaki kwako huyo??? Kalaghabhaho......Tunakusubiri nawewe kuja kuanzisha thread hapa Kuwait mkeo kakutoroka tupo sisi

BACK TANGANYIKA
 
Dr Slaa, amekuwa akiombewa na Gwajima kwa muda mrefu maradhi yake ya mkono bila KUPONA!! Lakini gwajima
huwa anafufua Misukule.

Hahahaaaa.............Kwahiyo ndiko mbakoponea nyie MISUKULE YA LUMUMBA?? Teh. teh teh tehhhhhh.....Nape, hebu zionee huruma Ndondocha zako ona zinavyolialia huku

BACK TANGANYIKA
 
Uache umbea

Wakisema wengine ni umbeya! ukisema wewe ni ukweli!

Dr. Slaa skendo ya kuingiza mali zaake na familia kwa mgongo wa dini ni jinai inayopaswa kuingiliwa kati akikutwa na hatia akomeshwe kabisa.
 
The more they talk bad about gwajima, the more popular and powerful he become.... Big up Gwajima
 
Kweli imeandikwa. Wazinzi watashikamana na wazinzi wenzao. Gwajima Mzinzi akizini na Flora Mbasha anashirikiana na Mzinifu Slaa anayezini na Josephine Mushumbusi. Wanajuana hawa na kujuana kwao kunatokana na uzinifu


Wewe kweli CADAVER
 
ccm mumeamua kuzama kwenye umbea, ili hoja ya escrow tuisahau
 
Gwajima baba goahead wajingawajinga wapotezee wanafikiri wewe ni kama wale
 
Mwanzoni nilikuwa namtetea Flora ,lakini nilisita kidogo sababu hii movie inavyoendelea napata picha Flola na Mbasha wanatumika/wamelipwa kummaliza/kumchafua Gwajima, siamini kama kweli Flora na mumewe wana ugomvi kweli na hata kama walikuwa nao kwanini ulipotiwe kwenye gazeti la mwananchi na si udaku? Kuna kitu Flora na mumewe wanamchezea Gwajima.
Na ikumbukwe Gwajima haelewani na wachungaji wenzake kama mama Rwaka, Mwingira etc .Ugomvi wa Flola na mumewe ni wa kutengeneza.
Tusubiri time will tell.
 
Back
Top Bottom