Mwanzoni nilikuwa namtetea Flora ,lakini nilisita kidogo sababu hii movie inavyoendelea napata picha Flola na Mbasha wanatumika/wamelipwa kummaliza/kumchafua Gwajima, siamini kama kweli Flora na mumewe wana ugomvi kweli na hata kama walikuwa nao kwanini ulipotiwe kwenye gazeti la mwananchi na si udaku? Kuna kitu Flora na mumewe wanamchezea Gwajima.
Na ikumbukwe Gwajima haelewani na wachungaji wenzake kama mama Rwaka, Mwingira etc .Ugomvi wa Flola na mumewe ni wa kutengeneza.
Tusubiri time will tell.