Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia imeshahama huko kwenye maguvu ya enzi za kale!
Umeandika ujinga: kwanini nasema hivyo! Ni kwasababu unachokiongea hukijui, nikwasababu hauna evidences za kutosha, na watu kama nyie ndo mnaliuza taifa kwa kutojikibali, hiviii unafikiri kila kifanyikacho mpaka uwe na taarifa!hivi Tanzania kuna jeshi au kichekesho?
maluten wao kazi yao ni kushinda chini miembe wanapiga story za madem na pombe tu.bora hata police wa Tanzania kazi yao inaonekana
Nilikuwa naangalia military capacity ya Marekani (vifaa,pesa, na teknolojia), nikagundua Tanganyika bado sanaa! Sisi Jeshi letu ni la kisiasa tu!Bado mkuu hizo ndo mbinu bora
Kweli kabisa.Bongo mpaka leo makomando yanapigana tofali mgongoni.Kweli mkuu mtoto alie malizia darasa la saba Feza school na huyu alie maliza darasa la saba shule ya nsingi mchanganyikeni ni sawa kweli?....... hao watu hawatalingana sehemu yoyote duniani labda kwa Mungu ni sawa sawa na wanajeshi wa Tz na wa USA wapi na wapi?
WWW(War,Women's, Whisk)mkuu..nilishangaa siku nimeenda pale lugalo naona lutens wamekaa chini ya miti wanapiga soga za madem.nkajiuliza hawa kweli nao ni wanajeshi!
Mbona unaongea mambo ambayo sio ya kwel, nyaambaf kabisaKwenye vyeo vya kijeshi ni sawa wanapeana heshima. Wenzetu wametuzidi kwenye mambo ya IT.Huku Bongo hakuna private anayerusha Jetfighter anayerusha hizo ndege vita, Bongo kuanzia cheo cha Afisa yani kuanzia nyota mbili(Luteni)
Kwanza me niongelee uzalendo wa Nchi! Aijawah tokea Us private akamuonea Raia wake kisa tu yeye ni solder ata robo zaid ya kuwalinda ata kama akiwa likizo! Tukija kwenye ii nchi etu ssa Unakuta private anataman atoke kambini ajee kitaa aje azinguane na raia apo kavua Jezi zake fresh akishapata wa kuzinguana nae kesho ake anarud na jezi kuja et kutoa mfano kwa alichojifunz alivokua Depo! kazi kuonea raia! apo akipangiwa aende congo roho inauma kbxa nae et ni solder [ SIO WOTE]
Mbona unaongea mambo ambayo sio ya kwel, nyaambaf kabisa
Nadhani wanauelewa mdgo mno kuhusu Mambo ya kijeshi.Kifupi majukumu ya Generali na private ni tofauti kabisa.Kiumri,uzoefu,akili,mafunzo,maturity.Walichokuwa wanajadili ni upuuzi na insult.wangesema Generali na kanali tungejua wamekosea kdgo sio private aisee.Unafananisha wakuu wa Brigedi na askari wafield wapiganaji na walinda kam biWakuu, Kuna mjadala ulikua unaendelea mahali huku mtaani, tulikua tunajadili kuhusu ubora wa majeshi ulimwenguni. Jamaa mmoja ambae ni mstaafu wa jwtz akasema kwamba kwa experience yake ya kukaa jeshini karibu miaka 30,anaona private wa jeshi la marekani ni bora kuliko Generali wa jwtz, sababu alizozitoa ni kwamba private wa USA army yeye kwa mwaka anaweza akawa deployed kwenye war zone hata mara tatu, but huku Tanzania Mtu anafikia level ya ujenerali akiwa hata hajawahi kukanyaga war zone yoyote wala kupiganisha vita yoyote.
Je Kuna ukweli hapo wakuu?
we trusted youNatabiri huu UZI KUFUTWA kabla JUA la UTOSI halijafika.
Trust me.