Ni kweli kwamba private wa jeshi la Marekani ni bora kuliko Generali wa jeshi la Tanzania?

Ni kweli kwamba private wa jeshi la Marekani ni bora kuliko Generali wa jeshi la Tanzania?

Wewe ni nani vile? Fala, Boya. Ms**nge
Mimi ni mlima na wewe ni kichuguu katika mada iliyo mbele yetu. ( Watoto wa kizazi hiki mliozaliwa wazazi wanatumia viroba, vidonge vya majira, kondomu mna mtindio wa ubongo? Kwa Nini umetoa mitusi yote hiyo? Ulichpaswa kufanya ni kutoa maoni yako au kuelewesha kadri unavyoelewa wewe. Matusi yamrongeza tija gani katika hii post? )
 
Kuuza Azam Ukwaju barabarani haimaanishi kuwa unaweza kuwa meneja mauzo,au meneja mauzo hawezi kuwa bora. Ili mjeshi(Soldier) aje awe General lazima amaenda kozi za kutosha na kila kozi ina vipimo vyake vya kijeshi kuanzia kutawala,kuwapa watu morali,kupanga mbinu za wapiganaji,kushirikiana na wakuu wenzake na hao private unaowataja lazima wamkubali,la sivyo linakuwa na rumors nyingi juu ya utawala,nabjeshi siku zote linahakikisha mfumo wa utawala wake upo systematic hivyo basi Command/Oder zinafatwa.Hii mada haina adabu ya kujua tofauti ya private na general.Aliyeitoa aende atafute mtu aliesoma pale Monduli Military Academy amsaeidie kufahamu ukweli
 
Sijui ni lini tutaacha kujadili mambo ya kijinga.
 
Back
Top Bottom