Ni kweli kwamba private wa jeshi la Marekani ni bora kuliko Generali wa jeshi la Tanzania?

Ni kweli kwamba private wa jeshi la Marekani ni bora kuliko Generali wa jeshi la Tanzania?

Sasa we henerali gani kama hujawahi kupiganisha vita bwana. Kazi kunywa kahawa na kalimati na kutishianraia tu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119] Noma sana hii
 
Sifa ya majeshi ya nchi za wanyonge ni kutunishiana vifua na raia.
Yaani wewe ndio umeongea upupu kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sante sana mkuu,,, hakika nimekubari kuwa nmeandika ujinga kabisaa, I accept my Ignorance.
 
Siwezi kubisha.. wale wako mbali ndio maana huwezi kusikia wanabangua korosho
 
Pole mkuu,labda hujui tu hakuna jeshi lenye ubunifu east na central Africa especially kwenye mambo ya uzalishaji na uwekezaji kama jwtz Ina miradi mikubwa tu inafanya na tena kwa kupitia kamandi yao ya jkt ,ujenzi Wa ukuta ,reli sgr ,miradi ya nyumba yote tenda wanazipata kupitia SUMA jkt
Nazungumzia JW na si JKT Mkuu.
 
Wakuu, Kuna mjadala ulikua unaendelea mahali huku mtaani, tulikua tunajadili kuhusu ubora wa majeshi ulimwenguni. Jamaa mmoja ambae ni mstaafu wa jwtz akasema kwamba kwa experience yake ya kukaa jeshini karibu miaka 30,anaona private wa jeshi la marekani ni bora kuliko Generali wa jwtz, sababu alizozitoa ni kwamba private wa USA army yeye kwa mwaka anaweza akawa deployed kwenye war zone hata mara tatu, but huku Tanzania Mtu anafikia level ya ujenerali akiwa hata hajawahi kukanyaga war zone yoyote wala kupiganisha vita yoyote.
Je Kuna ukweli hapo wakuu?
Huyo labda kmkm. Majeshi convental yote Yana adhi sawa. Private hapa akitutana private wa us, uk, India etc watakuwa na status sawa na watafoleni sehemu moja. Captain hapa ana status sawa na wa Brazil, pakstan Israel ,us , germany, uk you name it. Na vyeo vingine Ni hivyo. Mambo ya ops hayo Ni uzoefu tu lakini private au sgt wa us aliyeenda ops Mia akija hapa atakula kwenye mes ya cheo chake na kamwe hatogeuge kuwa ofsa hapa kisa katoka marekani. Hizo ni story zenu za vijiweni
 
Kazi yao ndo inakufanya hupo umela na awala yako. Kuna watu wako kwenye bunkers, patrols, training, recce, behind en lines 24/7 ndo maana una jeuri. Kwenye jeshi namba peke yake Ni silaha inamtisha adui
hivi Tanzania kuna jeshi au kichekesho?
maluten wao kazi yao ni kushinda chini miembe wanapiga story za madem na pombe tu.bora hata police wa Tanzania kazi yao inaonekana
 
Vifaa na tecknolijia tu,wanajeshi watatu wa USA wakija ngumi kavu nawavimbisha sura na kuwatapisha nina washikaji kibao tu ambao ni USA marine ni wakawaida tu.
Vita vya ngumi vimeisha mda wake watu wako kwenye mambo estimate na strategic mgt, na mengine yanayokuzi!di uwezo. Na hamna Vita vya mtu moja. Vita ni task ya pamoja
 
Huyo labda kmkm. Majeshi convental yote Yana adhi sawa. Private hapa akitutana private wa us, uk, India etc watakuwa na status sawa na watafoleni sehemu moja. Captain hapa ana status sawa na wa Brazil, pakstan Israel ,us , germany, uk you name it. Na vyeo vingine Ni hivyo. Mambo ya ops hayo Ni uzoefu tu lakini private au sgt wa us aliyeenda ops Mia akija hapa atakula kwenye mes ya cheo chake na kamwe hatogeuge kuwa ofsa hapa kisa katoka marekani. Hizo ni story zenu za vijiweni
Hilo hatukatai lakini yupi ni better kwenye opereshenk za vita???
 
Hana uzoefu kwenye level yake . Lakini Kuna mambo ambayo ni ya shule na mafunzo yanayopatikana darasan kwenye kozi za juu ambazo yeye hana . Shughuli za Vita zina levels mfano strategic level , hapa uwezi kumkuta private hapa ni kanali kwenda mbele wenyewe wanasema (think tank) Kuna operational level (hapa haumkuti Private utamkuta labda Capt to maj or lt col) , Kuna tactical level na kuendelea. Kwa hiyo private hata hawe wa Israel au marekan au russia atakuwa competent na experienced na jasiri kwenye level yake. Yeye ni wa kupewa maagizo na kutekeleza. General kazi zao dunia nzima Ni kupanga Vita na mikakati ya kivita (war brains). No way private atakaa meza moja na general tuachana na Hollywood brain wash
Hilo hatukatai lakini yupi ni better kwenye opereshenk za vita???
 
Hayo ni matusi makubwa sana. Huyo Askari alikuwa ni nanga kwa miaka yote 30 aliyo kaa jeshini. Hajui hata majukumu ya Private jeshini na afisa mwandamizi kama General. General haendi front line, anaweza kaa mtaa wa Mirambo Upanga akapiganisha vita Butembo au Bunya DR Congo. Vile vile ajue course za msingi wanazo attend Majenerali ni sawa.
Tena nanga wa demo
 
Hana uzoefu kwenye level yake . Lakini Kuna mambo ambayo ni ya shule na mafunzo yanayopatikana darasan kwenye kozi za juu ambazo yeye hana . Shughuli za Vita zina levels mfano strategic level , hapa uwezi kumkuta private hapa ni kanali kwenda mbele wenyewe wanasema (think tank) Kuna operational level (hapa haumkuti Private utamkuta labda Capt to maj or lt col) , Kuna tactical level na kuendelea. Kwa hiyo private hata hawe wa Israel au marekan au russia atakuwa competent na experienced na jasiri kwenye level yake. Yeye ni wa kupewa maagizo na kutekeleza. General kazi zao dunia nzima Ni kupanga Vita na mikakati ya kivita (war brains). No way private atakaa meza moja na general tuachana na Hollywood brain wash
Ok mkuu point kubwa sana... Kama ni mafunzo bhasi sawa..!! Sema navy noma sana walee
 
Achana na heshima, ata JPM akikutana na Trump wanapata heshima sawa kama wote wakuu wa nchi....ila Tz haifikii USA hata 1/1000 kwahiyo heshima inapotosha sanaa.....waalimu wanapewa shikaamo mtaa mzima lakini hata nauli yakumrudisha kwake hana anatumia 'animal transport' heshima ni ujinga tu
Duh [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ok mkuu point kubwa sana... Kama ni mafunzo bhasi sawa..!! Sema navy noma sana walee
Ni kweli kwa sababu ya geographic loc ya marekani, regional geopolitics, uchumi na aina ya maasui. Ndio maana marekan ana war destroyers 60+ lakin urusi nadhan ,12 or so. Lakini urusi amepakana kalibia na nchi kumi na sita na adui wa karibu Ni ulaya iliyo nchi kavu ndo maana kwenye land force na land based systems marekani mwenyewe anafyata mkia. Umesikia anavyotetemeka amerika akisikia kitu cha s 400? Kiboko ya airforce. ? Tatizo la Tanzania Ni kwamba uchumi wetu mdogo na uenda jeshi alipewi kipaumbele kwenye vifaa. Lakini trust me landforces za Tanzania Ni habari nyingine. Alafu kumbuka mafunzo ya kijeshi yako kulingana na unajandaa kupigana na Nani?
 
[emoji106] Vita usiviombe ni sawasawa na kuomba njaa au kipindupindu na ebola vije nyumbani kwako kwa pamoja wakati huna hata Mia. Vita endelea kuviona Hollywood na kwenye series mnazoangalia. Vita experience nyingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vita sio kabisaa mzee..!!
 
Back
Top Bottom