chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,559
Waasibu = wahasibuwapo hadi waasibu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waasibu = wahasibuwapo hadi waasibu tu
Wale walioenda congo juzi uliwaona unazani wanaenda kuwinda ndege kuleMarekani ipo field mda wote, wenzako kila sku wapo practical, wanafanya mistake wanajifunza magumu wanayopitia namna ya kuyakabili siku nyingine, hakuna nchi yenye jeshi imara kama marekani mpak sasa tusidanganyane hata kidog.....wengine ni wakimbiza upepo tuu....Ni kichekesho kulinganisha mjeda wa Tz mwenye kitambi na copro wa US, nchi ya kwanza kiuchumi vs nchi ya mwisho kiuchumi how comes
Wewe kama sio Shoga sijui. Hata kujisomea hujui. Ivi hujui Jeshi letu lipo kila pembe ya Dunia kwenye matatizo na wanafanikiwa asilimia kubwa sanahivi Tanzania kuna jeshi au kichekesho?
maluten wao kazi yao ni kushinda chini miembe wanapiga story za madem na pombe tu.bora hata police wa Tanzania kazi yao inaonekana
Kwanza me niongelee uzalendo wa Nchi! Aijawah tokea Us private akamuonea Raia wake kisa tu yeye ni solder ata robo zaid ya kuwalinda ata kama akiwa likizo! Tukija kwenye ii nchi etu ssa Unakuta private anataman atoke kambini ajee kitaa aje azinguane na raia apo kavua Jezi zake fresh akishapata wa kuzinguana nae kesho ake anarud na jezi kuja et kutoa mfano kwa alichojifunz alivokua Depo! kazi kuonea raia! apo akipangiwa aende congo roho inauma kbxa nae et ni solder [ SIO WOTE]
Kuwa mzalendo bwana mdogo. Jeshi letu la wananchi linafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha mipaka ya taifa letu inakuwa salama.Usifananishe Jeshi la Marekani na upwupwu!
Kuwa mzalendo bwana mdogo. Jeshi letu la wananchi linafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha mipaka ya taifa letu inakuwa salama.Kwanza me niongelee uzalendo wa Nchi! Aijawah tokea Us private akamuonea Raia wake kisa tu yeye ni solder ata robo zaid ya kuwalinda ata kama akiwa likizo! Tukija kwenye ii nchi etu ssa Unakuta private anataman atoke kambini ajee kitaa aje azinguane na raia apo kavua Jezi zake fresh akishapata wa kuzinguana nae kesho ake anarud na jezi kuja et kutoa mfano kwa alichojifunz alivokua Depo! kazi kuonea raia! apo akipangiwa aende congo roho inauma kbxa nae et ni solder [ SIO WOTE]
Kuwa mzalendo bwana mdogo. Jeshi letu la wananchi linafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha mipaka ya taifa letu inakuwa salama.Inawezekana ikawa kweli...
Na kwa nini tuwa deploye kwenye war zone kama siku zote ni amani tuu...
Wale wanaopelekwaga Somalia au comorro zinarudigi combat tuu...
Cc: mahondaw
Mwanajeshi yeyyote lengo la mafunzo yake ni kupambana ktk vita na jambo la kwanza anafundishwa ukakamavu likiambatana na nidhamu kisha utumiaji wa silaha akishajua mambo hayo ndipo anabobea kwenye kitengo chake kama ni daktar, runner, mpiga picha n.k maana hawez dili na kitengo chake tu kwwny uwanja wa mapambanoVita ni sehemu tu ya majukumu ya kijeshi, si kwamba vita ndiyo kila kitu jeshini. Ni kupitia majukumu hayo wanajeshi hutambuliwa kwa ukakamavu wao. Kusimamia ujenzi wa ukuta wa Mirerani ndani ya muda na gharama ile siyo jambo dogo ni mission kubwa sana ile.
Kingine uelewe kuwa si kila mwanajeshi ukadhani kuwa awapo vitani huwa anajukumu la kurusha visasi, si wote warushao risasi, wengine kazi yao ni kutafuta na kuokoa majeruhi wao tu, wengine kazi yao ni kuwezesha mawasiliano, wengine kazi yao ni kusambaza supplies tu, kuna wengine wapo kwa ajili ya ujenzi tu.
Tatizo lenu ninyi vijana mnapenda kuelewa vitu kwa namna ile muitakayo.Mwanajeshi yeyyote lengo la mafunzo yake ni kupambana ktk vita na jambo la kwanza anafundishwa ukakamavu likiambatana na nidhamu kisha utumiaji wa silaha akishajua mambo hayo ndipo anabobea kwenye kitengo chake kama ni daktar, runner, mpiga picha n.k maana hawez dili na kitengo chake tu kwwny uwanja wa mapambano
Mwanafunz kaz yake c kuwa 2 darasan bal anatakiwa asome ivo kama mwanafunz ypo class na haelew masom hyo hawez kamilisha majukum yake
Eb nambie huyo general anapiganisha vip vita wakat hajui vita inafananaje? Trust me, mafunzo ya darasan na feild yana utofaut mkubwa sana!!
Ndio shida ya jeshi la Kisiasa!Wee ni askari mpumbavu kwahiyo unapingana na katiba inayotoa haki ya kuandamana?? Kwahiyo tuna jeshi ambalo linawasubari watu wanye kambini ili liwaadhibu,???? Nina uhakika 100% we ni askari jwtz maana wapo wengi vilaza huko wasiojua kwanini wapo huko!!! Ebu rudia comment yako uone ulivo zero kichwani,askari wa hivi ni janga kuu uelewa mdogo mno.Eti andamana uone!!!! Askari mwelevu hawezi kukandamiza haki za kiraia hata cku moja bali atamlinda aandamane kwa Amani na ujumbe ufike kwa walengwa.
Acha kuandika maneno ya Kuudhi Jamii Forums, haipo hivyo haya yapo Feceebok.Ulitaka nilete story za family yako ndo tuzijadili?
Acha dharau na kiburi.hivi Tanzania kuna jeshi au kichekesho?
maluten wao kazi yao ni kushinda chini miembe wanapiga story za madem na pombe tu.bora hata police wa Tanzania kazi yao inaonekana
Mkuu makurya ndo yalivyo hata lisome vipi. mihasira tuuuu ya kishamba, unajua kiagata ni wapi kureeeeee karibu na mto mara. wanakula bange na ugali wa mawele.Acha kuandika maneno ya Kuudhi Jamii Forums, haipo hivyo haya yapo Feceebok.
Humu aliepande wa pili wa hoja kesho mnaweza kuwa upande mmoja kwenye kutete hoja.
Hivyo jifunze usimuandikie maneno ya kuudhi, kubali hoja ya mwenziyo ukipinga pinga nawe kwa kujenga hoja inayotetea unachokiamini.
Nakumbu Jamii tulikua na utamaduni wa kuitana Mkuu, sijui imeishia wapi ile, ilikua inasaidia kuonyesha tunavyoheshimiana hapa.
Yote kwa yote kama nimekukwaza kwa ushauri huu, Nakuimba unisamehe.
Vita ni sehemu tu ya majukumu ya kijeshi, si kwamba vita ndiyo kila kitu jeshini. Ni kupitia majukumu hayo wanajeshi hutambuliwa kwa ukakamavu wao. Kusimamia ujenzi wa ukuta wa Mirerani ndani ya muda na gharama ile siyo jambo dogo ni mission kubwa sana ile.
Kingine uelewe kuwa si kila mwanajeshi ukadhani kuwa awapo vitani huwa anajukumu la kurusha visasi, si wote warushao risasi, wengine kazi yao ni kutafuta na kuokoa majeruhi wao tu, wengine kazi yao ni kuwezesha mawasiliano, wengine kazi yao ni kusambaza supplies tu, kuna wengine wapo kwa ajili ya ujenzi tu.
Hayo ni matusi makubwa sana. Huyo Askari alikuwa ni nanga kwa miaka yote 30 aliyo kaa jeshini. Hajui hata majukumu ya Private jeshini na afisa mwandamizi kama General. General haendi front line, anaweza kaa mtaa wa Mirambo Upanga akapiganisha vita Butembo au Bunya DR Congo. Vile vile ajue course za msingi wanazo attend Majenerali ni sawa.
hivi Tanzania kuna jeshi au kichekesho?
maluten wao kazi yao ni kushinda chini miembe wanapiga story za madem na pombe tu.bora hata police wa Tanzania kazi yao inaonekana
Umeandika ujinga: kwanini nasema hivyo! Ni kwasababu unachokiongea hukijui, nikwasababu hauna evidences za kutosha, na watu kama nyie ndo mnaliuza taifa kwa kutojikibali, hiviii unafikiri kila kifanyikacho mpaka uwe na taarifa!
Kwenye proffession yoyte mbobeaji lazima awe na secrecy and confidentiality sasa mi sielewi unapo anza kubwabwajatu, sasa kukaa kwenye jua kali ndo kua strong au!
Alaf we kijana, jitahidi basi ujue kua tupo karne21 basii kwenye ilimwengu wa technolojia, sio kipindi cha classical au dark ages ambako watumia nguvu walikua wakipatikana kwa wingi, sahivi ni ulimwengu wa technolojia na akili na ndio maana zipo technology mbalimbali kwenye majeshi mengi hapa duniani,, nahayo huyajuitu bado!!!
Jeshi la nchi hii unahisi limegawanyika kwenye nyanja ngapi kwanza??
Kwanza we hata kambini unapajua wewe??
Laiti kama jeshi la nchi hii lisingekua imara hakika lisingekua likiaminika kwenye umoja wa mataifa.
Alaf kule ni vitengo, sio kilamtu ni mpiganaji, so kitu kama hujui tuliza mshono.
Inaonekana huna exposure ya wanajeshi wewe, sasa hebu sikumoja jitahidi hata kidogo unye kwenye mazingira ya kambi, Au andamana uone kama tz kuna jeshi au hakuna.