Ni kweli kwamba private wa jeshi la Marekani ni bora kuliko Generali wa jeshi la Tanzania?

Ni kweli kwamba private wa jeshi la Marekani ni bora kuliko Generali wa jeshi la Tanzania?

Marekani ipo field mda wote, wenzako kila sku wapo practical, wanafanya mistake wanajifunza magumu wanayopitia namna ya kuyakabili siku nyingine, hakuna nchi yenye jeshi imara kama marekani mpak sasa tusidanganyane hata kidog.....wengine ni wakimbiza upepo tuu....Ni kichekesho kulinganisha mjeda wa Tz mwenye kitambi na copro wa US, nchi ya kwanza kiuchumi vs nchi ya mwisho kiuchumi how comes
Wale walioenda congo juzi uliwaona unazani wanaenda kuwinda ndege kule
 
hivi Tanzania kuna jeshi au kichekesho?
maluten wao kazi yao ni kushinda chini miembe wanapiga story za madem na pombe tu.bora hata police wa Tanzania kazi yao inaonekana
Wewe kama sio Shoga sijui. Hata kujisomea hujui. Ivi hujui Jeshi letu lipo kila pembe ya Dunia kwenye matatizo na wanafanikiwa asilimia kubwa sana
 
Kuna Afisa mmoja wa kambi ya Twalipo alikuwa anakujaga uswahilini akishalewa anazingua sana watu kisa ye mwanajeshi

Siku hiyo akakutana na kichwa mbubu akamzingua alichezea kichapo balaa ,wenzie wamekuja wakaachana nae wakasema ndio akome kumbe hata wao anawazinguaga kisa yeye ni Afisa
Kwanza me niongelee uzalendo wa Nchi! Aijawah tokea Us private akamuonea Raia wake kisa tu yeye ni solder ata robo zaid ya kuwalinda ata kama akiwa likizo! Tukija kwenye ii nchi etu ssa Unakuta private anataman atoke kambini ajee kitaa aje azinguane na raia apo kavua Jezi zake fresh akishapata wa kuzinguana nae kesho ake anarud na jezi kuja et kutoa mfano kwa alichojifunz alivokua Depo! kazi kuonea raia! apo akipangiwa aende congo roho inauma kbxa nae et ni solder [ SIO WOTE]
 
Kuwa mzalendo bwana mdogo. Jeshi letu la wananchi linafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha mipaka ya taifa letu inakuwa salama.
 
Inawezekana ikawa kweli...

Na kwa nini tuwa deploye kwenye war zone kama siku zote ni amani tuu...

Wale wanaopelekwaga Somalia au comorro zinarudigi combat tuu...

Cc: mahondaw
Kuwa mzalendo bwana mdogo. Jeshi letu la wananchi linafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha mipaka ya taifa letu inakuwa salama.
 
Vita ni sehemu tu ya majukumu ya kijeshi, si kwamba vita ndiyo kila kitu jeshini. Ni kupitia majukumu hayo wanajeshi hutambuliwa kwa ukakamavu wao. Kusimamia ujenzi wa ukuta wa Mirerani ndani ya muda na gharama ile siyo jambo dogo ni mission kubwa sana ile.

Kingine uelewe kuwa si kila mwanajeshi ukadhani kuwa awapo vitani huwa anajukumu la kurusha visasi, si wote warushao risasi, wengine kazi yao ni kutafuta na kuokoa majeruhi wao tu, wengine kazi yao ni kuwezesha mawasiliano, wengine kazi yao ni kusambaza supplies tu, kuna wengine wapo kwa ajili ya ujenzi tu.
Mwanajeshi yeyyote lengo la mafunzo yake ni kupambana ktk vita na jambo la kwanza anafundishwa ukakamavu likiambatana na nidhamu kisha utumiaji wa silaha akishajua mambo hayo ndipo anabobea kwenye kitengo chake kama ni daktar, runner, mpiga picha n.k maana hawez dili na kitengo chake tu kwwny uwanja wa mapambano
Mwanafunz kaz yake c kuwa 2 darasan bal anatakiwa asome ivo kama mwanafunz ypo class na haelew masom hyo hawez kamilisha majukum yake
Eb nambie huyo general anapiganisha vip vita wakat hajui vita inafananaje? Trust me, mafunzo ya darasan na feild yana utofaut mkubwa sana!!
 
Tatizo lenu ninyi vijana mnapenda kuelewa vitu kwa namna ile muitakayo.
Ni hivi;
Mafunzo yoyote ya awali ya kijeshi ni namna ya kupigana vita na baada ya mafunzo ni kuishi akiwa tayari kwa vita wakati wowote. Hivyo basi kwa sababu anatakiwa kuwa tayari kwa vita, ndiyo maana kila baada ya muda fulani lazima washiriki mafunzo au mazoezi ya kivita.
Pamoja na hayo yote, mgawanyo wao wa majukumu huendelea kuwepo vilevile hatakabla au wakati wa vita.
Uimara wa wanajeshi hata bila ya vita huendelea kujengwa kupitia kozi na mazoezi yao, huwezi ukalazimisha eti lazima uende vitani hata kama hamna adui wa kuoigana naye. Hao majenerali wa kuongoza na kuoiganisha vita hushiriki kozi na mafunzo mbalimbali sehemu tofauti duniani, hivyo msije mkadhani eti vyeo vimewakuta ofisini
Ninapokwambia vita siyo jambo pekee elewa kuwa kipindi hiki cha amani majukumu mbalimbali ya kijeshi huendelea na makamanda hutambuliwa na kupanda vyeo kwa ajili hiyo. China wana Jeshi imara na wana Generals wa kutosha tu, je ni kwa vita ipi ambayo China wanapigana?
Nadjani umenielewa.
 
Wee ni askari mpumbavu kwahiyo unapingana na katiba inayotoa haki ya kuandamana?? Kwahiyo tuna jeshi ambalo linawasubari watu wanye kambini ili liwaadhibu,???? Nina uhakika 100% we ni askari jwtz maana wapo wengi vilaza huko wasiojua kwanini wapo huko!!! Ebu rudia comment yako uone ulivo zero kichwani,askari wa hivi ni janga kuu uelewa mdogo mno.Eti andamana uone!!!! Askari mwelevu hawezi kukandamiza haki za kiraia hata cku moja bali atamlinda aandamane kwa Amani na ujumbe ufike kwa walengwa.
Ndio shida ya jeshi la Kisiasa!
 
Ulitaka nilete story za family yako ndo tuzijadili?
Acha kuandika maneno ya Kuudhi Jamii Forums, haipo hivyo haya yapo Feceebok.
Humu aliepande wa pili wa hoja kesho mnaweza kuwa upande mmoja kwenye kutete hoja.

Hivyo jifunze usimuandikie maneno ya kuudhi, kubali hoja ya mwenziyo ukipinga pinga nawe kwa kujenga hoja inayotetea unachokiamini.

Nakumbu Jamii tulikua na utamaduni wa kuitana Mkuu, sijui imeishia wapi ile, ilikua inasaidia kuonyesha tunavyoheshimiana hapa.
Yote kwa yote kama nimekukwaza kwa ushauri huu, Nakuimba unisamehe.
 
Wewe ulikimbia JKT. hapo padogo tu kazi yake ni ngumu hatari, hata Ruvu pale hupitagi nini! wa mkoa wewe?.

kitu cha kwanza kujua JKT ni kuwa ukitaka amani jiandae kwa vita. Rasilimali inayotumika ajili ya mazoezi si za kitoto, kwa nini Baba yako usimuulize yalo jili huko JKT au hakwenda nini?

leo unalala mbupu juu kwa sababu ya TPDF, maadui wanatuogopa Vibaya utasikia '' usicheze na wa TZ'' Kamuzu Banda na malawi yake wanatuogopa mpaka leo, hata Kaburu hakuthubutu kutugusa weeee! any way bado mtoto wewe,
 
hivi Tanzania kuna jeshi au kichekesho?
maluten wao kazi yao ni kushinda chini miembe wanapiga story za madem na pombe tu.bora hata police wa Tanzania kazi yao inaonekana
Acha dharau na kiburi.
Heshimu Uhuru na umoja ulionao Leo.
Kukandya Jeshi lako ni sawa sawa na kuamini ukuta wa nyumba yako ndio mlinzi ukasahau kuna LPG.
 
Acha kuandika maneno ya Kuudhi Jamii Forums, haipo hivyo haya yapo Feceebok.
Humu aliepande wa pili wa hoja kesho mnaweza kuwa upande mmoja kwenye kutete hoja.

Hivyo jifunze usimuandikie maneno ya kuudhi, kubali hoja ya mwenziyo ukipinga pinga nawe kwa kujenga hoja inayotetea unachokiamini.

Nakumbu Jamii tulikua na utamaduni wa kuitana Mkuu, sijui imeishia wapi ile, ilikua inasaidia kuonyesha tunavyoheshimiana hapa.
Yote kwa yote kama nimekukwaza kwa ushauri huu, Nakuimba unisamehe.
Mkuu makurya ndo yalivyo hata lisome vipi. mihasira tuuuu ya kishamba, unajua kiagata ni wapi kureeeeee karibu na mto mara. wanakula bange na ugali wa mawele.
 
Sasa hawa wapenda sifa wa kibongo anastafu hajawai hata kusambaza sigara vitani lakini anaitwa mwanajeshi.

Jukumu kubwa la majeshi ya nchi za wanyonge ni kujitutumua mbele ya raia tu
Vita ni sehemu tu ya majukumu ya kijeshi, si kwamba vita ndiyo kila kitu jeshini. Ni kupitia majukumu hayo wanajeshi hutambuliwa kwa ukakamavu wao. Kusimamia ujenzi wa ukuta wa Mirerani ndani ya muda na gharama ile siyo jambo dogo ni mission kubwa sana ile.

Kingine uelewe kuwa si kila mwanajeshi ukadhani kuwa awapo vitani huwa anajukumu la kurusha visasi, si wote warushao risasi, wengine kazi yao ni kutafuta na kuokoa majeruhi wao tu, wengine kazi yao ni kuwezesha mawasiliano, wengine kazi yao ni kusambaza supplies tu, kuna wengine wapo kwa ajili ya ujenzi tu.
 
Sasa we henerali gani kama hujawahi kupiganisha vita bwana. Kazi kunywa kahawa na kalimati na kutishianraia tu?
Hayo ni matusi makubwa sana. Huyo Askari alikuwa ni nanga kwa miaka yote 30 aliyo kaa jeshini. Hajui hata majukumu ya Private jeshini na afisa mwandamizi kama General. General haendi front line, anaweza kaa mtaa wa Mirambo Upanga akapiganisha vita Butembo au Bunya DR Congo. Vile vile ajue course za msingi wanazo attend Majenerali ni sawa.
 
kazi nyingine ni kukopa mikopo jeshini na kununua magari na kuuza nayo sura
hivi Tanzania kuna jeshi au kichekesho?
maluten wao kazi yao ni kushinda chini miembe wanapiga story za madem na pombe tu.bora hata police wa Tanzania kazi yao inaonekana
 
Sifa ya majeshi ya nchi za wanyonge ni kutunishiana vifua na raia.
Yaani wewe ndio umeongea upupu kabisa.
Umeandika ujinga: kwanini nasema hivyo! Ni kwasababu unachokiongea hukijui, nikwasababu hauna evidences za kutosha, na watu kama nyie ndo mnaliuza taifa kwa kutojikibali, hiviii unafikiri kila kifanyikacho mpaka uwe na taarifa!

Kwenye proffession yoyte mbobeaji lazima awe na secrecy and confidentiality sasa mi sielewi unapo anza kubwabwajatu, sasa kukaa kwenye jua kali ndo kua strong au!

Alaf we kijana, jitahidi basi ujue kua tupo karne21 basii kwenye ilimwengu wa technolojia, sio kipindi cha classical au dark ages ambako watumia nguvu walikua wakipatikana kwa wingi, sahivi ni ulimwengu wa technolojia na akili na ndio maana zipo technology mbalimbali kwenye majeshi mengi hapa duniani,, nahayo huyajuitu bado!!!

Jeshi la nchi hii unahisi limegawanyika kwenye nyanja ngapi kwanza??

Kwanza we hata kambini unapajua wewe??

Laiti kama jeshi la nchi hii lisingekua imara hakika lisingekua likiaminika kwenye umoja wa mataifa.

Alaf kule ni vitengo, sio kilamtu ni mpiganaji, so kitu kama hujui tuliza mshono.

Inaonekana huna exposure ya wanajeshi wewe, sasa hebu sikumoja jitahidi hata kidogo unye kwenye mazingira ya kambi, Au andamana uone kama tz kuna jeshi au hakuna.
 
Back
Top Bottom