Ni kweli kwamba private wa jeshi la Marekani ni bora kuliko Generali wa jeshi la Tanzania?

hivi Tanzania kuna jeshi au kichekesho?
maluten wao kazi yao ni kushinda chini miembe wanapiga story za madem na pombe tu.bora hata police wa Tanzania kazi yao inaonekana
Umeandika ujinga: kwanini nasema hivyo! Ni kwasababu unachokiongea hukijui, nikwasababu hauna evidences za kutosha, na watu kama nyie ndo mnaliuza taifa kwa kutojikibali, hiviii unafikiri kila kifanyikacho mpaka uwe na taarifa!

Kwenye proffession yoyte mbobeaji lazima awe na secrecy and confidentiality sasa mi sielewi unapo anza kubwabwajatu, sasa kukaa kwenye jua kali ndo kua strong au!

Alaf we kijana, jitahidi basi ujue kua tupo karne21 basii kwenye ilimwengu wa technolojia, sio kipindi cha classical au dark ages ambako watumia nguvu walikua wakipatikana kwa wingi, sahivi ni ulimwengu wa technolojia na akili na ndio maana zipo technology mbalimbali kwenye majeshi mengi hapa duniani,, nahayo huyajuitu bado!!!

Jeshi la nchi hii unahisi limegawanyika kwenye nyanja ngapi kwanza??

Kwanza we hata kambini unapajua wewe??

Laiti kama jeshi la nchi hii lisingekua imara hakika lisingekua likiaminika kwenye umoja wa mataifa.

Alaf kule ni vitengo, sio kilamtu ni mpiganaji, so kitu kama hujui tuliza mshono.

Inaonekana huna exposure ya wanajeshi wewe, sasa hebu sikumoja jitahidi hata kidogo unye kwenye mazingira ya kambi, Au andamana uone kama tz kuna jeshi au hakuna.
 
Inawezekana ikawa kweli...

Na kwa nini tuwa deploye kwenye war zone kama siku zote ni amani tuu...

Wale wanaopelekwaga Somalia au comorro zinarudigi combat tuu...


Cc: mahondaw
 
Ni kweli maana USA wako mbali ki technology na mbinu nyingi za kijeshi
 
Bado mkuu hizo ndo mbinu bora
Nilikuwa naangalia military capacity ya Marekani (vifaa,pesa, na teknolojia), nikagundua Tanganyika bado sanaa! Sisi Jeshi letu ni la kisiasa tu!
 
Ila tukianzia kwenye hali ya uchumi wa nchi hizi mbili,ndo utaweza kujua kuwa wapo tofauti, lkn kivyeo wapo sawa wenzetu wametuzid hata mafunzo ya askari wao japo ni sawa na wetu lkn kuna utofauti mkubwa kwenye uzoefu wa kazi zao ingawa vyeo ni sawa...
 
Kweli kabisa.Bongo mpaka leo makomando yanapigana tofali mgongoni.
 
Kwenye vyeo vya kijeshi ni sawa wanapeana heshima. Wenzetu wametuzidi kwenye mambo ya IT.Huku Bongo hakuna private anayerusha Jetfighter anayerusha hizo ndege vita, Bongo kuanzia cheo cha Afisa yani kuanzia nyota mbili(Luteni)
Mbona unaongea mambo ambayo sio ya kwel, nyaambaf kabisa
 
Atawaonea wapumbavu tu! Hakuna kitakachonizuia nisifight back isipokuwa silaha ya moto tu! Mwaka 2014 niliwafunza adabu wapumbavu wawili mabibo Dar, eti nimevaa kofia inayofanana na sare zao.

Nilitembeza kibano kitakatifu huwa sipendi ujinga kabisa
 
Hii kitu inafananishwa na shule, private school na government school wakati wote wanafanya mtihani ule ule ila kwenye masomo walikuwa wanafundishwa tofauti.
 
Nadhani wanauelewa mdgo mno kuhusu Mambo ya kijeshi.Kifupi majukumu ya Generali na private ni tofauti kabisa.Kiumri,uzoefu,akili,mafunzo,maturity.Walichokuwa wanajadili ni upuuzi na insult.wangesema Generali na kanali tungejua wamekosea kdgo sio private aisee.Unafananisha wakuu wa Brigedi na askari wafield wapiganaji na walinda kam bi
 
Vifaa na tecknolijia tu,wanajeshi watatu wa USA wakija ngumi kavu nawavimbisha sura na kuwatapisha nina washikaji kibao tu ambao ni USA marine ni wakawaida tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…