Kuuza Azam Ukwaju barabarani haimaanishi kuwa unaweza kuwa meneja mauzo,au meneja mauzo hawezi kuwa bora. Ili mjeshi(Soldier) aje awe General lazima amaenda kozi za kutosha na kila kozi ina vipimo vyake vya kijeshi kuanzia kutawala,kuwapa watu morali,kupanga mbinu za wapiganaji,kushirikiana na wakuu wenzake na hao private unaowataja lazima wamkubali,la sivyo linakuwa na rumors nyingi juu ya utawala,nabjeshi siku zote linahakikisha mfumo wa utawala wake upo systematic hivyo basi Command/Oder zinafatwa.Hii mada haina adabu ya kujua tofauti ya private na general.Aliyeitoa aende atafute mtu aliesoma pale Monduli Military Academy amsaeidie kufahamu ukweli