Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
11,550
Reaction score
40,697
Mara baada ya Rais Samia kutangaza kumpigia debe Professor Janabi ili kuiwakilisha Tanzania kwenye kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika, watu wenye akili kubwa ikabidi waingie chimbo kufukua file lenye kubeba wasifu mbali mbali kumhusu Profesa Mohamed Janabi ili kuona ana kipi cha kielimu na kisayansi, na sasa imekuja kugundulika kuwa, kumbe mwamba hakuwahi kusomea udaktari bingwa wowote (Mmed) achilia mbali udaktari bingwa wa moyo (Cardiologist) na wala hana sifa zozote stahiki za kibingwa kutibu moyo.

Na kwa mifumo ya mamlaka za usimamizi wa fani ya utabibu hapa Tanzania (Medical Council of Tanganyika), daktari asiyekuwa na sifa za kibingwa za fani huzika haruhusiwi kutoa matibabu ya kibingwa moja kwa moja kwa mgonjwa, na kwa tafsiri ya moja kwa moja, Professor Janabi hakuwahi popote moja kwa moja kutibu kibingwa moyo, na kama aliwahi kufanya hivyo anastahili kushtakiwa kwenye baraza la madaktari kwa kutenda kosa la kimaadili katika fani ya udaktari.

Hapa chini nimeambanisha wasifu wa Professor Janabi wa kidaktari unaotambulika na mamlaka za usimamizi wa taaluma ya udaktari hapa Tanzania (MCT).

Mwisho kabisa, MCT wanatakiwa kutoa maelezo kwa umma, kwa hicho ulichowahi kusomea Professor Jababi (Masters of tropical health) ambacho hakina sifa yoyote ya udaktari bingwa wa moyo (maana mhitimu yoyote wa fani ya afya anaweza kusomea), kinampaje sifa mhusika kuwa daktari bingwa wa moyo?

NOTE:
Daktari bingwa mbombezi (kama daktari bingwa wa moyo) yoyote mwenye sifa stahiki za kutambulika na baraza la madaktari la Tanganyika (MCT) ni lazima utambulisho wake kwenye ukurasa rasmi wa MCT (Professional Profile status) usomeke SUPER SPECIALIST DOCTOR. Kwa Professor Janabi hakuna hicho kitu.

Screenshot_20241210-163348_WhatsApp.jpg
 
Mara baada ya Rais Samia kutangaza kumpigia debe Peofessor Janabi ili kuiwakilisha Tanzania kwenye kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya afrika, watu wenye akili kubwa ikabidi waingie chimbo kufukua file lenye kubeba wasifu mbali mbali kumhusu Profesa Mohamed Janabi ili kuona ana kipi cha kielimu na kisayansi, na sasa imekuja kugundulika kuwa, kumbe mwamba hakuwahi kusomea udaktari bingwa wowote (Mmed) achilia mbali udaktari bingwa wa moyo (Cardiologist) na wala hana sifa zozote stahiki za kibingwa kutibu moyo. Na kwa mifumo ya mamlaka za usimamizi wa fani ya utabibu hapa Tanzania (Medical Council of Tanganyika), daktari asiyekuwa na sifa za kibingwa z fani huzika haruhusiwi kutoa matibabu ya kibingwa moja kwa moja kwa mgonjwa, na kwa tafsiri ya moja kwa moja, Professor Janabi hakuwahi popote moja kwa moja kutibu kibingwa moyo, na kama aliwahi kufanya hivyo anastahili kushtakiwa kwenye baraza la madaktari kwa kutenda kosa la kimaadili katika fani ya udaktari.
Hapa chini nimeambanisha wasifu wa Professor Janabi wa kidaktari unaotambulika na mamlaka za usimamizi wa taaluma ya udaktari hapa Tanzania (MCT).

Mwisho kabisa, MCT wanatakiwa kutoa maelezo kwa umma, kwa hicho ulichowahi kusomea Professor Jababi (Masters of tropical health) ambacho hakina sifa yoyote ya udaktari bingwa wa moyo (maana mhitimu yoyote wa fani ya afya anaweza kusomea), kinampaje sifa mhusika kuwa daktari bingwa wa moyo?

View attachment 3173753
Alifanya Fellowship ya Moyo mkuu Usizushe kitu usichokijua..
Soma Hii Link
 
Huw

Huwezi kufanya fellowship ya kuja kuwa Daktari bingwa wa moyo kama hujawahi kufanya Mmed ya internal medicine. Hiyo ndio standard ya duniani nzima, na ndio standard ya iliyopo MCT mpaka sasa.

Kama huamini, leta status ya MCT yenye kuonyesha Professor Janabi hiyo Fellowship yake imekubalika na MCT.
 
Tanzania ndio ilivyo uyo ni mtu wa system kubebwa ni lazima tu uwe na elimu usiwe na elimu utakula shavu tu

Ingawa sector ambayo naamini haijaingiliwa ni ya afya hvyo yawezekana kweli professor yupo vizuri but siasa ndio zinamchafua.
 
Mara baada ya Rais Samia kutangaza kumpigia debe Peofessor Janabi ili kuiwakilisha Tanzania kwenye kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya afrika, watu wenye akili kubwa ikabidi waingie chimbo kufukua file lenye kubeba wasifu mbali mbali kumhusu Profesa Mohamed Janabi ili kuona ana kipi cha kielimu na kisayansi, na sasa imekuja kugundulika kuwa, kumbe mwamba hakuwahi kusomea udaktari bingwa wowote (Mmed) achilia mbali udaktari bingwa wa moyo (Cardiologist) na wala hana sifa zozote stahiki za kibingwa kutibu moyo. Na kwa mifumo ya mamlaka za usimamizi wa fani ya utabibu hapa Tanzania (Medical Council of Tanganyika), daktari asiyekuwa na sifa za kibingwa z fani huzika haruhusiwi kutoa matibabu ya kibingwa moja kwa moja kwa mgonjwa, na kwa tafsiri ya moja kwa moja, Professor Janabi hakuwahi popote moja kwa moja kutibu kibingwa moyo, na kama aliwahi kufanya hivyo anastahili kushtakiwa kwenye baraza la madaktari kwa kutenda kosa la kimaadili katika fani ya udaktari.
Hapa chini nimeambanisha wasifu wa Professor Janabi wa kidaktari unaotambulika na mamlaka za usimamizi wa taaluma ya udaktari hapa Tanzania (MCT).

Mwisho kabisa, MCT wanatakiwa kutoa maelezo kwa umma, kwa hicho ulichowahi kusomea Professor Jababi (Masters of tropical health) ambacho hakina sifa yoyote ya udaktari bingwa wa moyo (maana mhitimu yoyote wa fani ya afya anaweza kusomea), kinampaje sifa mhusika kuwa daktari bingwa wa moyo?

View attachment 3173753
Ngoja nikagoogle, bioregulatory medical science
 
Certificate ya USSR miaka ya 80 ni sawa na PHD 10 za jalalani kwenu, Dogo heshimu hustle za watu 🤣🤣
Acha uongo ndugu yangu.
Standard ya elimu ya utabibu kipindi cha USSR mpaka leo hii haijawahi kuwa bora kupita yetu katika kipindi chochote kile. Mhitimu wa Muhimbili amekuwa better dhidi ya hao wa USSR.
 
1733839379256-png.3173775

Prof. Mohamed Yakub Janabi

Accreditations & Qualifications

  • MD., MSc., PhD. and Fellow of American College of Cardiology (FACC)
  • Certified Aviation Medical Examiner by FAA-USA

Career

  • CEO – MNH, Oct 2022 - Present
  • CEO- JKCI, 2015 - Sept 2022
  • Head, Physician to former President of United Republic of Tanzania (2005 - Present)
  • Faculty Member of Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) (2000 - Present)
  • Faculty Member of Medical University of South Carolina, USA (2003 - Present)

Corporate Governance Experience

  • Council Member MUHAS - Oct 2022 - Present
  • Board Member Jakaya Kikwete Cardiac Institute – Oct 2022 - Present
  • Board Member Ocean Road Cancer Institute - Oct 2022 - Present
  • Board Member SUA (2015 - Present)
  • Senior Researcher Scientist HIV Vaccine Trial (TaMoVac) (1998-2002)
  • Medical Director at Madaktari Africa, a USA-based NGO (Tanzania)

CEO Muhimbili National Hospital

Note:

  • Prof. Janabi has made over 83 publications
  • Prof. has a good command of Kiswahili, English, Russian, and Japanese

View: https://m.youtube.com/watch?v=x4KAPkM_GDE
 
Huw
Huwezi kufanya fellowship ya kuja kuwa Daktari bingwa wa moyo kama hujawahi kufanya Mmed ya internal medicine. Hiyo ndio standard ya duniani nzima, na ndio standard ya iliyopo MCT mpaka sasa.

Kama huamini, leta status ya MCT yenye kuonyesha Professor Janabi hiyo Fellowship yake imekubalika na MCT.
Unajua Maana Ya Fellowship??
🤣🤣
Unajua Kuna Wakati kuna Maswala tuyaache tu..
Mmed Za janab zote unazijua??

Angewezaje kusoma Msc Bila Kusoma Mmed?
Sio Vyote Vinaandikwa MCT..
Kasoma MMED internal medicine hapo hapo University of Queensland in Australia Mwaka 1996 ndo alimaliza..
Fellowship alifanya na Cardiology..

Fellowship Kafanya kutoka Fellow American College of Cardiology (FACC) mwaka 1996/97 Mpaka 98

Internal Medicine and Molecular Science, Graduated in School of Medicine Osaka University Hospital Osaka, Japan 2000 (Post Doctorate)

Bergen University Norway Cardiology Department
and Medical University of South Carolina-USA Clinical attachment ya mwaka 2005
 
Prof. Mohamed Yakub Janabi

Accreditations & Qualifications

  • MD., MSc., PhD. and Fellow of American College of Cardiology (FACC)
  • Certified Aviation Medical Examiner by FAA-USA

Career

  • CEO – MNH, Oct 2022 - Present
  • CEO- JKCI, 2015 - Sept 2022
  • Head, Physician to former President of United Republic of Tanzania (2005 - Present)
  • Faculty Member of Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) (2000 - Present)
  • Faculty Member of Medical University of South Carolina, USA (2003 - Present)

Corporate Governance Experience

  • Council Member MUHAS - Oct 2022 - Present
  • Board Member Jakaya Kikwete Cardiac Institute – Oct 2022 - Present
  • Board Member Ocean Road Cancer Institute - Oct 2022 - Present
  • Board Member SUA (2015 - Present)
  • Senior Researcher Scientist HIV Vaccine Trial (TaMoVac) (1998-2002)
  • Medical Director at Madaktari Africa, a USA-based NGO (Tanzania)

CEO Muhimbili National Hospital

Note:

  • Prof. Janabi has made over 83 publications
  • Prof. has a good command of Kiswahili, English, Russian, and Japanese
Mjomba unamponza mwenzio...
 
Back
Top Bottom