Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

1733839379256-png.3173775

Prof. Mohamed Yakub Janabi

Accreditations & Qualifications

  • MD., MSc., PhD. and Fellow of American College of Cardiology (FACC)
  • Certified Aviation Medical Examiner by FAA-USA

Career

  • CEO – MNH, Oct 2022 - Present
  • CEO- JKCI, 2015 - Sept 2022
  • Head, Physician to former President of United Republic of Tanzania (2005 - Present)
  • Faculty Member of Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) (2000 - Present)
  • Faculty Member of Medical University of South Carolina, USA (2003 - Present)

Corporate Governance Experience

  • Council Member MUHAS - Oct 2022 - Present
  • Board Member Jakaya Kikwete Cardiac Institute – Oct 2022 - Present
  • Board Member Ocean Road Cancer Institute - Oct 2022 - Present
  • Board Member SUA (2015 - Present)
  • Senior Researcher Scientist HIV Vaccine Trial (TaMoVac) (1998-2002)
  • Medical Director at Madaktari Africa, a USA-based NGO (Tanzania)

CEO Muhimbili National Hospital


Note:

  • Prof. Janabi has made over 83 publications
  • Prof. has a good command of Kiswahili, English, Russian, and Japanese

View: https://m.youtube.com/watch?v=x4KAPkM_GDE

Kanjanja tu!
 
Alifanya Fellowship ya Moyo mkuu Usizushe kitu usichokijua..
Soma Hii Link
Dokta fellowship ya moyo ni kitu gan?i kwa sisi ambao sio wasomi
 
We jamaa acha kupiga watu kamba, khaa!!
Sio nakupiga kamba, nenda popote katika hii nchi kaulize madaktari watakwambia hichi kitu.
Mhitimu (fresh from university) wa udaktari wa binadamu (Md) aliyehitimu USSR ya zamani, Russia ya sasa, Ukraine, China au India hana uwezo kamili wa kutibu mgonjwa kumkaribia mhitimu wa hapa Tanzania hususani kutoka Muhimbili. Na siri ni moja tu, daktari mwanafunzi, tena mgeni kutoka afrika, halafu mwenye ngozi nyeusi hawezi kupewa nafasi kamili ya kujifunza kwa kutibu (clinical practice) kwenye mwili wa mzungu (mrusi), mchina au mhindi.
 
Wasomi wengi wa kiTanzania ni kama waganga wa kienyeji kwa kuficha utaalamu wao.

Katika Tanzania ni maprofesa wachache kama Prof. Issa Shivji siasa / sheria, Prof. Janabi utabibu / elimu kwa umma (Public health), Prof. Prosper Ngowi wa Mzumbe University somo lake la kujiajiri ndiyo wasomi wachache wanaorudi kwa jamii kuwainua ufahamu waTanzania kwa elimu ya buree mtandaoni
Prof Lipumba - Uchumi
 
Alifanya Fellowship ya Moyo mkuu Usizushe kitu usichokijua..
Soma Hii Link
Fellowship[emoji16][emoji16][emoji6][emoji6]
Huo ndo ubobezi kwenye kutibu moyo?

Anyway hata hivyo hakuwahi kutibu bali alikuwa mtawala ktk hospitali ya JKSI na alikua anashiriki na madaktari bingwa kama msaidizi(kama walivyo manesi) wakati wa operation.
Hawezi kuwa second oncall kwenye ishu ya moyo[emoji3][emoji2][emoji3][emoji2][emoji3][emoji2]
 
Hii Elimu yake inatusaidia nini kwa Kipindi hiki?

Jambo la Msingi aungwe Mkono.

Huu Upuuzi wa Elimu umebakia sana hapa kwetu Africa Mashariki.

Huko kwa Mabeberu kinachoangaliwa ni Uwezo wako Ku deliver.

Tuachaneni na Hizo mambo za Kuangalia Elimu , hazilijengi Taifa.
Rudia kusoma hayo uliyoandika na kisha jipige kifuani kwa kusema: " mihemuko imenitia upofu"

WHO sio kama kamati Kuu ya CCM!
 
Huyu Alimtibia Rais Magufuli dakoka za mwisho?

Yamkute yaliyomkuta Daktari wa Michael Jackson.
Ni siasa tu, Professor Janabi asingeweza kumtibu moyo Magufuli, hakuwa na sifa hizo wala ujuzi huo. Tunaelezwa kuwa Magufuli alikuwa akitibiwa na vichwa vya ukweli kutoka pale JKCI labda na few experts kutoka nje (eg. Nairobi, South Africa, Israel, Germany, Uk).
 
Huw
Huwezi kufanya fellowship ya kuja kuwa Daktari bingwa wa moyo kama hujawahi kufanya Mmed ya internal medicine. Hiyo ndio standard ya duniani nzima, na ndio standard ya iliyopo MCT mpaka sasa.

Kama huamini, leta status ya MCT yenye kuonyesha Professor Janabi hiyo Fellowship yake imekubalika na MCT.
Acha kudanganya Umma. MCT huwezi kuweka Residencies na Fellowship zaidi ya moja. Prof kafanya mpaka Fellowships za Cardiology US na hata kufundisha huko.

Kama evidence yako ni MCT search kuna Super Specialists kibao bado wanaonekana wana degree moja
 
Fellowship[emoji16][emoji16][emoji6][emoji6]
Huo ndo ubobezi kwenye kutibu moyo?

Anyway hata hivyo hakuwahi kutibu bali alikuwa mtawala ktk hospitali ya JKSI na alikua anashiriki na madaktari bingwa kama msaidizi(kama walivyo manesi) wakati wa operation.
Hawezi kuwa second oncall kwenye ishu ya moyo[emoji3][emoji2][emoji3][emoji2][emoji3][emoji2]
Duh

Kwanini Lakini? 🐼
 
Sio nakupiga kamba, nenda popote katika hii nchi kaulize madaktari watakwambia hichi kitu.
Mhitimu (fresh from university) wa udaktari wa binadamu (Md) aliyehitimu USSR ya zamani, Russia ya sasa, Ukraine, China au India hana uwezo kamili wa kutibu mgonjwa kumkaribia mhitimu wa hapa Tanzania hususani kutoka Muhimbili. Na siri ni moja tu, daktari mwanafunzi, tena mgeni kutoka afrika, halafu mwenye ngozi nyeusi hawezi kupewa nafasi kamili ya kujifunza kwa kutibu (clinical practice) kwenye mwili wa mzungu (mrusi), mchina au mhindi.
Ni kweli na ni lazima afanyiwe usaili ili atambulike na MCT
 
Amefanya fellowship U.S huyo tumkosoe kwa vingine kuhusu elimu kanyooka huyo jamaa hakuna ukanjanja hapo.

Hao MCT wafanye maboresho ya kanzidata yao.
Unachokiandika hakina hata mantiki, hufamu kitu, nenda katafiti upya.

Mtu unawezaje kufanya Fellowship ya ubingwa wa moyo (super specialist) kama hujawahi kuwa Daktari bingwa wa magonjwa ya ndani (internal medicine specialist)? Yaani mtoto ameanza kutembea na kuongea kabla ya kuzaliwa. Hakuna kitu kama hicho duniani.
 
Amefanya fellowship U.S huyo tumkosoe kwa vingine kuhusu elimu kanyooka hakuna ukanjanja hapo kama zile PhD za mama za kupewa kama ice cream kwawatoto.

Hao MCT wafanye maboresho ya kanzidata yao.
Prof. Mohamed Yakub Janabi

Accreditations & Qualifications

MD., MSc., PhD. and Fellow of American College of Cardiology (FACC)

Certified Aviation Medical Examiner by FAA-USA

Career

CEO – MNH, Oct 2022 - Present

CEO- JKCI, 2015 - Sept 2022

Head, Physician to former President of United Republic of Tanzania (2005 - Present)

Faculty Member of Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) (2000 - Present)

Faculty Member of Medical University of South Carolina, USA (2003 - Present)

Corporate Governance Experience

Council Member MUHAS - Oct 2022 - Present

Board Member Jakaya Kikwete Cardiac Institute – Oct 2022 - Present

Board Member Ocean Road Cancer Institute - Oct 2022 - Present

Board Member SUA (2015 - Present)

Senior Researcher Scientist HIV Vaccine Trial (TaMoVac) (1998-2002)

Medical Director at Madaktari Africa, a USA-based NGO (Tanzania)

CEO Muhimbili National Hospital

Note

Prof. Janabi has made over 83 publications

Prof. has a good command of Kiswahili, English, Russian, and Japanese

He is a husband



Sasa ubobezi wake uko wapi.


Soma hapa:-


Very simple and interested mdogo wangu,ukisoma degree ya kwanza ambayo inachukua miaka mitano with one year of internship hapo utakuwa unaitwa MD,yaani Doctor Of Medicine,degree ya pili yaani master huwa tunaiita SPECIALIZATIONS hiyo ndiyo inaitwa "udaktari bingwa",unaweza somea specialization ya surgery(upasuaji),obestric and gynaecology(wakina mama na watoto),opthamology,laryngelogy,internal surgery,psychiatry etc,zipo nyingi sana wewe tu na GPA yako nzuri ya MD,Thank
 
Back
Top Bottom