Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Aliye juu hashushwi kwa uchawi wa hivi mazee! We ulosomea ubingwa unaumia ukiwa wapi? Eti umeingia chimbo, hahaha hawa ndo wabongo! Bado hatujaappreciate juhudi za mtu na bahati zake zinamfikisha alipo sio makaratasi ya jalalani! Ni ngazi tu ya kupandia
 

Wakikaa chini kujisifia na macertificates tu wkt hakuna kitu tangible washaongeza kwa jamii wala taaluma zao zaidi ya kukariri vya wazungu tu, pathetic

Hapa tutaona madefinition tu ya kutosha maMMED, Associates, Fellows, na kadhalika ya kubebea tittles tu ili kumdiscredit aliyepewa. The end justfies means wandugu hata kama waliokaa maradarasa yasiyosebika na madegree ya makaratasi ya kutosha, wasaidie kufundisha wanafunzi kule, wamuache mwenzao asonge ndo keshapewa hivyo!
 
Hivi Superspecialist Ni MMED eeh

Some examples of MMed programs include:
Master of Medicine in General Medicine: A three-year program that provides core training for specialty training.

I am not Medical expert, but MMED ndio hiyo hapo juu, sio fani yangu, very simple nataka kujua unijibu, Prof ni Super Specialist wa moyo or not
 
Ni super specialist wa Moyo na Daktari Binafsi wa Rais Kikwete, Rais Magufuli na sasa Ameteuliwa kuwa Daktari binafsi na Mshauri wa Rais Samia
 
Daktari leo umepuyanga kubali yaishe tu.

Angalia ulivyopuyanga mwanzo
"
Unajua Maana Ya Fellowship??
🀣🀣
Unajua Kuna Wakati kuna Maswala tuyaache tu..
Mmed Za janab zote unazijua??

Angewezaje kusoma Msc Bila Kusoma Mmed?
Sio Vyote Vinaandikwa MCT..
Kasoma MMED internal medicine hapo hapo University of Queensland in Australia Mwaka 1996 ndo alimaliza..
Fellowship alifanya na Cardiology..

Fellowship Kafanya kutoka Fellow American College of Cardiology (FACC) mwaka 1996/97 Mpaka 98

Internal Medicine and Molecular Science, Graduated in School of Medicine Osaka University Hospital Osaka, Japan 2000 (Post Doctorate)

Bergen University Norway Cardiology Department

and Medical University of South Carolina-USA Clinical attachment ya mwaka 2005"
MCT ipo hivi
  • Qualification(s)
    • MD(1989) - Khakor Medical Institute-ukraine Ussr
    • MSc.(Tropical Health)(1993) - University Of Queensland
    • PhD(Bioregulatory Medical Science)(2001) - Osaka University
Sasa miaka uliyotaja na kwenye MCT haiko sawa na sasa unasema ni MMed specified in Tropical health ambayo ni kitu kimoja, yani full kutupiga tu
 
Zanzibar-ASP kuna hoja mbili hapa na zote ni independent from each other (Hazitegemeani).

Mosi, Janabi ni daktari bingwa wa moyo?

Pili, Janabi anaweza kugombea DG-WHO Africa?

Labda niulize, in the medical field, kati ya Janabi na Ndugulile nani ana resume iliyoshiba?

Hoja ya kwamba Janabi sio bingwa au hana Mmed ni hoja nzuri ila haina tija sana kwenye mbio zake za kuwania DG-WHO Africa. Janabi ana resume iliyoshiba kuliko Ndugulile in the medical field nadhani wote tunakuliana na hilo na tumeshuhudia Ndugulile akishinda by landslide na Ndugulie hakuwa daktari bingwa alisoma MD na MPH tu kama sijakosea.

Kama Janabi sio cardiologist na hajawahi kutibu mtu moyo tatizo lipo wapi? Yeye alikua administrator tu huko hajavunja msingi wowote na positiona anayoenda kuwania DG-WHO Africa nayo ni administration tu haendi field kutibu watu.
 
Mkuu Umeelewa nilichoeleza Kuhusu MCT?
Kuhusu Muundo wa Baadhi ya fani?
 
Fellowship ya moyo ni kumsaidia daktari kuwa na uanafunzi wa juu katika fani ya cardiology ili aweze kutibu magonjwa ya moyo kwa njia ya kisayansi, ya kimaumbile, na yenye ufanisi mkubwa.

Kwa kifupi, Fellowship ya Moyo ni programu ya upecialisti inayotoa mafunzo ya juu kwa madaktari waliobobea katika internal medicine ili waweze kuwa daktari bingwa wa moyo.

Na inahusisha mtaala wa kina wa matibabu, uchunguzi, na utafiti katika magonjwa ya moyo.

Ova
 
hii story yako imeua kabisa press ya mbowe, makala akuteue tu uwe mwenezi
 
Hivi ukisoma MMed huwi daktari bingwa ? kwa huku Tanzania
 
  • NA HII JE INA MAANA GANI? ACHENI UJINGA !!
  • MD., MSc., PhD. and Fellow of American College of Cardiology (FACC)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…