Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
- Thread starter
-
- #341
Jibu ni NO.Prof. Janabi ni Daktari bingwa au sio daktari bingwa wa moyo? Jibu liwe Yes au No
Nimekuelewa vizuri sana mkuu. Na nakubaliana kabisa na wewe.Jibu ni NO.
Professor Janabi hajawahi kusomea hicho kitu, hana huo ujuzi, hajawahi kutambuliwa kuwa na hiyo sifa hapa Tz, na huwa hatibu hicho kitu. Kama huamini fika JKCI halafu uulize ni lini alitibu moyo katika level ya kibingwa?
CBE kwa Kalulu? 😂😂😂mjomba wake na jirani yetu aliyemuoa mtoto wa katekista wa parokiani kwetu alikuwa anasema marekani unaweza fanyakazi huku unasoma,
nikamuuliza kazi gani akasema kuna kuzoa taka kuonya vyombo mahotelini, fundi bomba, sasa hawa mbona hawatuambii kuwa waliwahi osha vyombo wakati unasoma.
binafisi pale cbe nilifungua genge la ships wakati nasoma nusura nifukuzwe chuo
Ingefaa ajitambulishe kuwa yeye ni Daktari wa degree moja ilaJibu ni NO.
Professor Janabi hajawahi kusomea hicho kitu, hana huo ujuzi, hajawahi kutambuliwa kuwa na hiyo sifa hapa Tz, na huwa hatibu hicho kitu. Kama huamini fika JKCI halafu uulize ni lini alitibu moyo katika level ya kibingwa?
Alijitambulisha lini na wapi? 🐼Nimekuelewa vizuri sana mkuu. Na nakubaliana kabisa na wewe.
Pia MCT kwa nini huwa hawatoi tamko Dr. Janabi anapojitambulisha
kuwa ni Daktari bingwa wa Moyo ?
Fuatilia clip zake hata CV ya sasa ameandika ana PhD in CardiologyAlijitambulisha lini na wapi? 🐼
Mifumo mingi hawa fanyi update ya taarifaNa kweli ukiingia kwenye mifumo ya Serikali katika nchi hii utakutana na maajabu katika CV za watu...kuanzia Serikali kuu, Bungeni, Mahakamani na hata katika ngazi za Halmashauri
Kwani yeye kasoma leo, huyo kasoma miaka mingi unachokionaMifumo mingi hawa fanyi update ya taarifa
Changamoto haswa 🐼Ndio hivyo wataanyaje mtu alishaaminiwa na uongozi wa juu.
Haswaa.Ingefaa ajitambulishe kuwa yeye ni Daktari wa degree moja ila
amesoma mpaka level ya PhD kwenye other related health program.
Haimpunguzii kitu chochote.
Unaongea kama mtaaluma au kisiasa?Unataka asome muda gani kutafsiri maandishi kwenye cheti cha dawa?
Kazi kubwa anaifanya daktari kutafsiri kilichoandikwa tu ni kazi rahisi wanafanya hata ambao hawajasoma huo mwezi mmoja.Na wapo wengi sana hadi sasa wanafanya kazi
Ni irregularities kabisa.Haswaa.
Kujiita Daktari bingwa mbombezi wa moyo wakati hakusomea hilo hapaswi kufanya hivyo. Ni kuharibu taaluma za watu.
Hapa, umeanza kuongea point na kuona shida Iko wapi badala ya kumshambulia Mleta Hoja ambaye amejenga Hoja yake kupitia taarifa zinazopatikana MCT na amelisema hili tangu mwanzo na mara kwa mara.Tatizo lipo.Kwenye Muundo wa MCT
Hakuna cha suala la muundo kwa case yake angekuwa na MMED ingeonekana kwenye CV na hataHapa, umeanza kuongea point na kuona shida Iko wapi badala ya kumshambulia Mleta Hoja ambaye amejenga Hoja yake kupitia taarifa zinazopatikana MCT na amelisema hili tangu mwanzo na mara kwa mara.
Shida kubwa, ni watu kuhemka kisa tuu anayeongelewa ni Prof aliyependekezwa kuiwakikisha Nchi katika kugombea nafasi nyeti WHO.
Tubadirike. Tuwe watulivu. Tujenge Hoja na tujibu Hoja kwa Hoja .
Sawa Mzee wa LogicZaman watu walikuwa wanatibiwa kwa waganga wa kienyeji so waganga hawa wapewe vyeti? Huna logic
Mama yangu alitibiwa moyo na Dr Janabi.Jibu ni NO.
Professor Janabi hajawahi kusomea hicho kitu, hana huo ujuzi, hajawahi kutambuliwa kuwa na hiyo sifa hapa Tz, na huwa hatibu hicho kitu. Kama huamini fika JKCI halafu uulize ni lini alitibu moyo katika level ya kibingwa?