Binafsi sina shaka na elim yake na binafsi nilimpendekeza kwa nafsi hii, shida ninayoiona ni pale anapoteuliwa katika nafasi kama mshauri wa Rais katika afya ,then anza pigiwa chepuo la nafasi hii , lengo la mamlaka ni nini?
Kumfunga mikono endapo atafanikiwa kupata nafasi hii katika kutekeleza majukum yake .
Aya mambo ya kupigiwa chepuo mtu na serikali, kwangu siungi mkono, tuache uwezo wa mtu binafsi uongee katika nafsi kama hizi za kimataifa.
Sio mtu ategemee mbeleko ya watu flan flan, apa ndo tunaposhindwa kupata watu smart kama taifa.
Na sio hili tu tumeona pia katika nchi ,watu hawako katika nafasi flan flan kwamba wako smart , bali kupitia vimemo, kujuana ndo maana mambo hayaendi.
By the way wenda aliekua mshindi wa karibu wa Faustin Ndugulile(R.I.p) akanyakua kiti ichi bila kujali anatoka nchi gani , hii naipa asilimia 75