Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Prof. Janabi ni Daktari bingwa au sio daktari bingwa wa moyo? Jibu liwe Yes au No
Jibu ni NO.
Professor Janabi hajawahi kusomea hicho kitu, hana huo ujuzi, hajawahi kutambuliwa kuwa na hiyo sifa hapa Tz, na huwa hatibu hicho kitu. Kama huamini fika JKCI halafu uulize ni lini alitibu moyo katika level ya kibingwa?
 
Nimekuelewa vizuri sana mkuu. Na nakubaliana kabisa na wewe.

Pia MCT kwa nini huwa hawatoi tamko Dr. Janabi anapojitambulisha
kuwa ni Daktari bingwa wa Moyo ?
 
mjomba wake na jirani yetu aliyemuoa mtoto wa katekista wa parokiani kwetu alikuwa anasema marekani unaweza fanyakazi huku unasoma,

nikamuuliza kazi gani akasema kuna kuzoa taka kuonya vyombo mahotelini, fundi bomba, sasa hawa mbona hawatuambii kuwa waliwahi osha vyombo wakati unasoma.

binafisi pale cbe nilifungua genge la ships wakati nasoma nusura nifukuzwe chuo
CBE kwa Kalulu? 😂😂😂
 
Jibu ni NO.
Professor Janabi hajawahi kusomea hicho kitu, hana huo ujuzi, hajawahi kutambuliwa kuwa na hiyo sifa hapa Tz, na huwa hatibu hicho kitu. Kama huamini fika JKCI halafu uulize ni lini alitibu moyo katika level ya kibingwa?
Ingefaa ajitambulishe kuwa yeye ni Daktari wa degree moja ila

amesoma mpaka level ya PhD kwenye other related health program.

Haimpunguzii kitu chochote. Na kwa elimu yake hiyo inatosha sana kwenda

WHO labda azidiwe tuu sifa na wenzake huko.
 
Binafsi sina shaka na elim yake na binafsi nilimpendekeza kwa nafsi hii, shida ninayoiona ni pale anapoteuliwa katika nafasi kama mshauri wa Rais katika afya ,then anza pigiwa chepuo la nafasi hii , lengo la mamlaka ni nini?

Kumfunga mikono endapo atafanikiwa kupata nafasi hii katika kutekeleza majukum yake .

Aya mambo ya kupigiwa chepuo mtu na serikali, kwangu siungi mkono, tuache uwezo wa mtu binafsi uongee katika nafsi kama hizi za kimataifa.

Sio mtu ategemee mbeleko ya watu flan flan, apa ndo tunaposhindwa kupata watu smart kama taifa.

Na sio hili tu tumeona pia katika nchi ,watu hawako katika nafasi flan flan kwamba wako smart , bali kupitia vimemo, kujuana ndo maana mambo hayaendi.

By the way wenda aliekua mshindi wa karibu wa Faustin Ndugulile(R.I.p) akanyakua kiti ichi bila kujali anatoka nchi gani , hii naipa asilimia 75
 
Unataka asome muda gani kutafsiri maandishi kwenye cheti cha dawa?
Kazi kubwa anaifanya daktari kutafsiri kilichoandikwa tu ni kazi rahisi wanafanya hata ambao hawajasoma huo mwezi mmoja.Na wapo wengi sana hadi sasa wanafanya kazi
Unaongea kama mtaaluma au kisiasa?

Kama unafikiri anachokifanya mfamasia pekee ni kutafsiri "maandishi" kwenye prescription ndio ampe mgonjwa dawa basi hapa hatuko gari moja.

Na ndio maana saa hizi AMR imeshamiri kwa kasi sababu any Tom , Dick and Harry anafikiri akishajua vitu kama o.d, b.i.d , t.i.d basi ameiva kukaa na kumuattend mgonjwa kwa kumpa dawa.

Ni Tanzania pekee ndio nilisikia watu wanasoma mwezi mmoja kisha wanapewa vyeti kuhandle dawa na kuwapa wagonjwa ni maajabu mjitafakari kama hiyo kozi bado ipo basi mnajijengea kaburi wenyewe miaka 10+ mbele tutakuja hapa kama tukiwepo kufanya rejea.
 
Tatizo lipo.Kwenye Muundo wa MCT
Hapa, umeanza kuongea point na kuona shida Iko wapi badala ya kumshambulia Mleta Hoja ambaye amejenga Hoja yake kupitia taarifa zinazopatikana MCT na amelisema hili tangu mwanzo na mara kwa mara.

Shida kubwa, ni watu kuhemka kisa tuu anayeongelewa ni Prof aliyependekezwa kuiwakikisha Nchi katika kugombea nafasi nyeti WHO.

Tubadirike. Tuwe watulivu. Tujenge Hoja na tujibu Hoja kwa Hoja .
 
Hakuna cha suala la muundo kwa case yake angekuwa na MMED ingeonekana kwenye CV na hata

MCT na kumbuka yeye hajasoma leo kasoma muda mrefu hivyo angekuwa nayo

angeshatambulika.
 
Back
Top Bottom