Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Alipewa Ndugulile sio Tz kwa hiyo inaweza kwenda kwa mtu mwingine wa nchiSana na anajua kila kitu kuhusu udaktari.Sawa tumkubalie lakini hiyo position huko WHO haiangalii kama n bingwa wa moyo na hata asipopata siyo kwa sababu hizo za kwenu.Hiyo nafasi tulipewa Tz ikapotea so siyo kwamja tutaonewa huruma kwa mara ya pili lakini hiyo nafasi pia haiitaji Daktari bingwa wa moyo.Kwan Janabi yeye anasema aje baada ya hili mumemsikia akisema aje?
Ataanza kutoa darasa la watu wasile chapati UN.Kama ni kweli akipita ataliaibisha bara la Afrika. Na heshima ya Tz itashuka.
Unamkuta mtu alisoma certificate ya sheria na diploma ya ualimu alfu unamkuta ni afsa ardhi mteuleNa kweli ukiingia kwenye mifumo ya Serikali katika nchi hii utakutana na maajabu katika CV za watu...kuanzia Serikali kuu, Bungeni, Mahakamani na hata katika ngazi za Halmashauri
Atakuwa kituko ujue.Jambo la msingi apite tu mengine yatajulikana mbele ya safari. Hizi mambo za kuona aibu ndio zinazuia maendeleo ya nchi
Kabisa, haya mambo yamefanya wenye sifa wakose, wasio na sifa kisa wamasupport ya wakubwa wanapewa nafasi kubwa!Atakuwa kituko ujue.
Atakuwa kituko kwenye eneo lipi mkuu? Kwani uko Who anaenda kutibu wagonjwa kwenye hospital ya Africa au dunia?Atakuwa kituko ujue.
Mkuu inakera sana ,kila jambo kuingiza siasa kwa mwendo huu mkuu taifa linaenda kuwa na vilaza ,Angalia ma Prof wa sasa nchini kisa siasa wamekua watu wa ajabu ajabu ,mpaka sasa unaweza kuona heshima ya uprof imeyeyuka kama barafu , why wametumiwa kisiasa na wamekwisha kabisaUmeandika jambo la msingi sana sana ndugu 4 7mbatizaji .
Kongole sana.
simjuiNo namzungumzia huyo tapeli anayejiita prof nyagori
Umemjibu vyema yahan kika mtu ana comment anachojuaAtakuwa kituko kwenye eneo lipi mkuu? Kwani uko Who anaenda kutibu wagonjwa kwenye hospital ya Africa au dunia?
Kwa elimu yake Janab hawezi kuaibisha sawa tukubali siyo bingwa wa moyo lakini ni dr bingwa maana ana masters ya tropical disease hiyo tayari ni bingwa siyo wa moyo na yeye haendi kkwenye nafasi ya madaktari bingwa kwan WHO wamesema uwe bingwa wa moyo?Ndugulile alikua wa moyo?wewe ndo kilaza unaposema ataiaibisha Tanzania sasa hapo ataiaibisha vip na udaktari embu elleza anaenda kuaibisha aje au umeona uandike tu kisa una bandoJambo la msingi apite tu mengine yatajulikana mbele ya safari. Hizi mambo za kuona aibu ndio zinazuia maendeleo ya nchi
Kwa elimu yake Janab hawezi kuaibisha sawa tukubali siyo bingwa wa moyo lakini ni dr bingwa maana ana masters ya tropical disease hiyo tayari ni bingwa siyo wa moyo na yeye haendi kkwenye nafasi ya madaktari bingwa kwan WHO wamesema uwe bingwa wa moyo?Ndugulile alikua wa moyo?wewe ndo kilaza unaposema ataiaibisha Tanzania sasa hapo ataiaibisha vip na udaktari embu elleza anaenda kuaibisha aje au umeona uandike tu kisa una bandoJambo la msingi apite tu mengine yatajulikana mbele ya safari. Hizi mambo za kuona aibu ndio zinazuia maendeleo ya nchi
Hiyo nafasi WHO inahitaji watu wenye sifa ipi ambayo unaona Janabi hana hapo?Kabisa, haya mambo yamefanya wenye sifa wakose, wasio na sifa kisa wamasupport ya wakubwa wanapewa nafasi kubwa!
Exactly yeyote anaweza pewa na nchi nyingine hata Janabi kuipata siyo lazima na pia akikosa siyo kwamba hana vigezo ni kama kubet hiyo positionAlipewa Ndugulile sio Tz kwa hiyo inaweza kwenda kwa mtu mwingine wa nchi
nyingine.
Imebidi nicheke. Umeniita kilaza. Mtu mwerevu hakurupuki kutoa majibu. Hebu angalia nilichoandika halafu fuatilia nilikuwa namjibu aliyeandika nini na wewe umekuja kuandika nini.Kwa elimu yake Janab hawezi kuaibisha sawa tukubali siyo bingwa wa moyo lakini ni dr bingwa maana ana masters ya tropical disease hiyo tayari ni bingwa siyo wa moyo na yeye haendi kkwenye nafasi ya madaktari bingwa kwan WHO wamesema uwe bingwa wa moyo?Ndugulile alikua wa moyo?wewe ndo kilaza unaposema ataiaibisha Tanzania sasa hapo ataiaibisha vip na udaktari embu elleza anaenda kuaibisha aje au umeona uandike tu kisa una bando
Alafu Rais mbona kama kafanya teuzi kwenye issue ambayo mhusika mwenyewe alipaswa kujifanyia tathimini kisha kuomba endorsement kwa serikali. Nadhani Ndugulile hakuteuliwa bali alionyesha nia then serikali ika support baada ya kuona anafaaKama ni kweli,....kwahiyo tumeamua kama Taifa kupeleka Vihiyo kwenye Taasisi za Kimataifa?!
Hii Biashara ya Kuexport Vihiyo itakua imeanzishwa na hii Awamu ya 6.
Ni kweli vigezo anavyo ila anaweza kuzidiwa na wengine hasa kwenye mamboExactly yeyote anaweza pewa na nchi nyingine hata Janabi kuipata siyo lazima na pia akikosa siyo kwamba hana vigezo ni kama kubet hiyo position
Nayo hii ni irregularities, ila huwezi kujua pengine Janabi alimtafutaAlafu Rais mbona kama kafanya teuzi kwenye issue ambayo mhusika mwenyewe alipaswa kujifanyia tathimini kisha kuomba endorsement kwa serikali. Nadhani Ndugulile hakuteuliwa bali alionyesha nia then serikali ika support baada ya kuona anafaa
Labda aache zile swaga zake media. Ujue ana utoto mwingi huyo mzee.Atakuwa kituko kwenye eneo lipi mkuu? Kwani uko Who anaenda kutibu wagonjwa kwenye hospital ya Africa au dunia?
Huyu kaendaaa na kama watamuemgua basi kifo cha magu kifanyike uvhunguzCV yake aliyokuwa ameiweka kule ilikuwa imejaa uongo na ujanja ujanja mnoo. Sasa wakenya, waganda na waghana walishaanza kuichambua na kuipiga spana kiasi cha kuua the whole professional credibility yake. Na bora kafanya hivyo sasa, japokuwa amechelewa sana maana inaweza kuzaa mengi mnoo.
Watu hawajui tu, academic impersonation ni kosa kubwa mnoo kimataifa, inaweza kukufutia vyeti, titles nk.