Una uhakika?Mama yangu alitibiwa moyo na Dr Janabi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika?Mama yangu alitibiwa moyo na Dr Janabi.
Ndio, mimi nilikuwa escort wake from day 1.Una uhakika?
Weka ushahidi hapa kuwa hana i.e:-barua ya chama cha madaktari ikimkana JanabiDaktari bingwa yoyote hapa Tanzania ni lazima awe na Mmed. Professor Janabi hana na hajawahi kuwa nayo.
Kwani hao MCT hawamuoni au unawasemea wewe??Ni kweli na ni lazima afanyiwe usaili ili atambulike na MCT
Mbona akina Dr Ben Carson wamesoma Yale University US, lakini wana MD, Mmed(Paed), Phd. Tena ni ma NeurosurgeonHivi wewe kwa akili yako, kuna chuo kikuu hapa kwetu ambacho kinaweza kumpa mtu cheo cha mhadhiri (lecturer) na mtu huyo akapanda vyeo hadi kuwa profesa, bila kuwa na elimu ya MMed or equivalent? Yaani unaamini chuo kikuu chetu cha udaktari (MUHAS) kilifanya hivyo kwa Dr Janabi? Kama ni hivyo basi kinapaswa kufutwa kwenye orodha ya vyuo vikuu nchini na duniani.
Tatizo lako ni kwamba hujui kuwa MMed ni equivalent to PhD degree. Terminology ya MMed ni ya hapa kwetu tu, kwingineko duniani hakuna neno kama hilo, kuna PhD tu.
Usipende kuandika mambo usiyoyajua, mimi nimesoma Kharkov mji aliosoma Prof Janabi miaka ya 90 katikati mpaka 2000 mwanzoni, na masuala ya medicine ya Ukraine ninayaelewa japo sio kwa kina.Sio nakupiga kamba, nenda popote katika hii nchi kaulize madaktari watakwambia hichi kitu.
Mhitimu (fresh from university) wa udaktari wa binadamu (Md) aliyehitimu USSR ya zamani, Russia ya sasa, Ukraine, China au India hana uwezo kamili wa kutibu mgonjwa kumkaribia mhitimu wa hapa Tanzania hususani kutoka Muhimbili. Na siri ni moja tu, daktari mwanafunzi, tena mgeni kutoka afrika, halafu mwenye ngozi nyeusi hawezi kupewa nafasi kamili ya kujifunza kwa kutibu (clinical practice) kwenye mwili wa mzungu (mrusi), mchina au mhindi.
Dr Mambo, watanzania ni jamii fulani ya kipumbavu sana, ni kuwavumilia tu. Kila mtu anajaribu kuidharau taalum ya mtu wakati hana uwezo wa kusoma medicine hata mwaka wa kwanza akaufaulu.Dah Unaamini Kwamba Janabi sio Daktari Bingwa..
Kweli leyman Wakiweza Kuandika wanaandika Vitu vinakeera...
Kama Mnamchukia Samia Mchukieni Ola msichukie Fani ya Kidaktari na Kuanza kuleta Dharau soon Mnanitafutia Bann Naona kabisa
Nimecheck insta yake nadhani kaifutaKatika cv yake
Naenda insta kurasa ya hospital ya MOI mbona majina yapoHii ishu ya ajali ya wabunge mbona inafanywa siri sana? Kuna wabunge wamehamishiwa huko MOI mbona majina yao hatuambiwi wakati ni wawakilishi wetu?
CV imeondolewa Instagram ingawa watu wamesha download! Kwanini Prof Janabi ameiondoa CV aliyoiweka mwenyewe ktk kuanza kampeni ya safari yake ya WHO! Je! Ni kweli kuna mambo hayako Sawa? Tunasubiri alete mpya tulinganishe!!!Nimecheck insta yake nadhani kaifuta
Nimefanikiwa kuiona inakurasa (page) 18 .CV imeondolewa Instagram ingawa watu wamesha download! Kwanini Prof Janabi ameiondoa CV aliyoiweka mwenyewe ktk kuanza kampeni ya safari yake ya WHO! Je! Ni kweli kuna mambo hayako Sawa? Tunasubiri alete mpya tulinganishe!!!
Narudia tena kama TAIFA tunaenda kupambana na Africa nzima! Muda huu wameshachambua kila kitu kwenye taaluma ya mgombea wetu! Ni vyema busara itumike nchi isiingie
Ktk kashfa!!
Huu ni ushauri TUU ktk kuendelea kuiheshimisha mamlaka yetu tukufu! Inawezekana hii CV iliyofutwa ndiyo ilipelekwa kwa Rais na kwa kweli ilikuwa appealing!!
Queen Esther
WHO utata huu,umefika😂 hata kabla hajaomba nafasi husikaHii imetengenezwa ili kufit WHO?
View attachment 3174230View attachment 3174231View attachment 3174232View attachment 3174233View attachment 3174234View attachment 3174235View attachment 3174236View attachment 3174237View attachment 3174238View attachment 3174239View attachment 3174240View attachment 3174241View attachment 3174242View attachment 3174243View attachment 3174244View attachment 3174245
Hongera zake Sana.Hii imetengenezwa ili kufit WHO?
View attachment 3174230View attachment 3174231View attachment 3174232View attachment 3174233View attachment 3174234View attachment 3174235View attachment 3174236View attachment 3174237View attachment 3174238View attachment 3174239View attachment 3174240View attachment 3174241View attachment 3174242View attachment 3174243View attachment 3174244View attachment 3174245
Maamuzi ya mtu kwenda kutibiwa sehemu Fulani ni maamuzi binafasi hayahusiani na Taifa. Wewe unaweza kuamua uende kutibiwa hospital Fulani na hakuna atakaekupangia au kukukataza ikiwa hospital hiyo haipo katika level ya kuhudumia tatizo lako au haina vifaa tosha au watalamu tosha watakupa Referral (rufaa) uende sehemu nyingine..WHO utata huu,umefika😂 hata kabla hajaomba nafasi husika
Pia WHO wanajiuliza,mteule wao ambaye alikuwa hajaripoti kazini alipatwa nani?
Na kabla ya kwenda India kutibiwa alitibiwa hospital ipi hapa Tz?
Na no nani mkuu wa Hospital hiyo?
Maswali huko WHO ni mengi kuliko majibu
Dr Mambo Jambo unahangainga kumtetea Janabi , acha CV yake ijitetee.Tatizo lipo.Kwenye Muundo wa MCT
Paper mbili tu, ndio kawa first author, miaka 24 iliyopita?Hii imetengenezwa ili kufit WHO?
View attachment 3174230View attachment 3174231View attachment 3174232View attachment 3174233View attachment 3174234View attachment 3174235
View attachment 3174237
View attachment 3174236
View attachment 3174238View attachment 3174240
View attachment 3174239
View attachment 3174241
View attachment 3174242View attachment 3174243View attachment 3174244View attachment 3174245
Hapo nimekupata mkuu. Uwiano unakosekana sometimes, mwenyewe kuna sister alinipa vyeti vyake nifuatilie ile taasisi iko karibu na ikulu. Ngazi walizoweka ni changamoto yeye hajafuata hizo, kwanza kasoma mtaala wa kimataifa, hajaenda A level, kasoma nje ya nchi ngazi zote alafu chuo kasomea Wuhan, China.Tatizo Kubwa Linakuja kuwa Muundo wa Afya Tanzania Hautambui Mchanganyiko ama Course inayoitwa MMED (Internal Medicine Specified In Tropical disease) ila wanaitambua tu ni Kama MSc In Tropical D'se..
Kitu ambacho kwa Tanzania Kinampa Ubingwa Kwenye Tropical Disease Peke yake na wala Hakumpi Ubingwa kwenye Magonjwa yote ya Ndani..
Kwa Tanzania (Muundo ma kanuni za MCT) Atakosa Sifa ya Moja kwa Moja Kusoma Fellowship ya Cardiology ila kwa Nje Anayosifa Hiyo kwa kuwa wanatambua Course hiyo..
Shida Kubwa ni Muundo Maana Tanzania Hawaitambui kama MMED inakosa Sifa Kuwa MMed ila Wanaitambua kama MSc..
Mkuu, kwani tumekukosea nini? Mbona unajaribu kutupiga kamba nyepesi hivyo? We huogopi?Hivi wewe kwa akili yako, kuna chuo kikuu hapa kwetu ambacho kinaweza kumpa mtu cheo cha mhadhiri (lecturer) na mtu huyo akapanda vyeo hadi kuwa profesa, bila kuwa na elimu ya MMed or equivalent? Yaani unaamini chuo kikuu chetu cha udaktari (MUHAS) kilifanya hivyo kwa Dr Janabi? Kama ni hivyo basi kinapaswa kufutwa kwenye orodha ya vyuo vikuu nchini na duniani.
Tatizo lako ni kwamba hujui kuwa MMed ni equivalent to PhD degree. Terminology ya MMed ni ya hapa kwetu tu, kwingineko duniani hakuna neno kama hilo, kuna PhD tu.
Huyu jamaa ni tapeli....hana publications ni msanii...Paper mbili tu, ndio kawa first author, miaka 24 iliyopita?