Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Kwahiyo mct ndio kipimo cha ubingwa? Wewe unajua nini kuhusu elimu? Ili ufanye undergraduate pale MUHAS si kwa vigezo vyenu mliweka uwe umamaliza kidato cha Sita katika tahasusi ya PCB, je kila nchi wanasoma mpaka form 6? Na wanasoma PCB? Sasa unakataa vip kuwa ubingwa wa mtu sio lazima upimwe na MCT kama interest ya mtu sio kutambuliwa?
Halafu kwanza tukusaidie kitu, kuna holders wengi wa taaluma ambao taaluma zao hawakuwa na shida ya kutambuliwa na mamlaka za sehemu husika walipo.
Mimi naweza kuwa Professor nchi husika nikija UDSM wakaishia kuniona mzalimili fulani tu, watanitaka nikawasilishe kazi zangu mbele ya jopo la wataalamu wao na mimi huo muda wa kwenda kuongea na kina Ruge sina na sihitaji kutambuliwa kama Professor na kina Anangisiye ambao hata lugha yenyewe wanaweza wasisikie ninachoongea.
Anangisye alipataje shavu?
 
Unatia huruna mzee, unasemaje wewe? Mzee umesoma wapi na unajua nini kuhusu maana ya kujifunza? Wewe ni zao la Elimu yetu tuliyoamishwa kuwa ili uelimike lazima upate tabu kusoma kwa kukariri manadharia na ukienda kufanya utafiti upate tabu.
Sasa hebu tumia akili ndogo tu, unaenda kufanya kwa vitendo kwa kutumia vifaa gani mlivyonavyo kuwazidi Urusi, China na India? Yani umeenda kufanya vitendo Amana unalinganisha na hospital gani huko Urusi? Wewe ulichoandaliwa kuwazidi hao jamaa ni kuwapiga uongo wagonjwa, kuandaliwa kutukana wagonjwa na ujanja ujanja wa kuwashauri waangalie tiba mbadala. Huwezi kuandaliwa vizur kwenye mazingira hovyo.
Hakuna mtu anasema Urusi, China au India wako nyuma katika sayansi ya Afta na tiba. Wametuzidi mbali sana. Lakini linapokuja suala la kumfundisha kijana kutoka Tanzania ili kuja kuwa Daktari bora hapo tumewatangulia mnoo. Mfumo wao umeegemea kumfanya mwanafunzi kusikiliza, kusoma na KUTAZAMA (Listen,Read and observe) wakati kwa Tanzania mfumo umejikita zaidi kwenye kusikiliza, kusoma, kutazama, KUFANYA, KUFANYA, KUFANYA.....
 
Uongo
 
Daktari yoyote anaweza na anaruhusiwa kutibu moyo popote, lakini linapokuja suala la kutibu moyo kwa ngazi ya kibingwa ni daktari bingwa pekee mwenye hayo majukumu.

Ukiona Daktari ambaye sio bingwa anatoa matibabu ya kibingwa basi ujue anafanya hivyo chini ya usimamizi wa daktari bingwa. Tofauti na hapo ni makosa.

Nakuhakikishia kwa 99% kwa elimu ya kutibu moyo aliyonayo Janabi (ya kawaida mnoo) tukisema akae pale JKCI kutibu moyo yeye mwenyewe (bila kusimamiwa na madaktari bingwa waliopo pale) huenda atapaswa kuishia kumpima mgonjwa presha na mapigo ya moyo tu, kwa sababu hana sifa za kutibu moyo kibingwa.
Wewe n daktari nini mkuu mbona unajua sana mambo mengi ya taratibu za madaktari embu tuambie wewe n C0.au AC0.au AMO,au MD;au specialist
 
Sawa anaweza asipate hiyo nafasi kwa maana tumeshampoteza ndugulile siyo lazima nafasi hiyo iwe yetu watz kwa mara ingine.Lakini Janabi ana sifa pia kushika huo wadhifa maana huko siyo kwamba wanataka daktari bingwa wa moyo basi
 
Ila jamaa kaipambania sana hoja yake. No wonder ni daktari.
Sana na anajua kila kitu kuhusu udaktari.Sawa tumkubalie lakini hiyo position huko WHO haiangalii kama n bingwa wa moyo na hata asipopata siyo kwa sababu hizo za kwenu.Hiyo nafasi tulipewa Tz ikapotea so siyo kwamja tutaonewa huruma kwa mara ya pili lakini hiyo nafasi pia haiitaji Daktari bingwa wa moyo.Kwan Janabi yeye anasema aje baada ya hili mumemsikia akisema aje?
 
Ni kweli na jamaa alikuwa anahoji tu utaalam wa Janabi kwenye moyo kwamba katulisha kasa tukiamini mbobezi. Otherwise ( huko WHO) he is perfect fit like do others.
 
Back
Top Bottom