Ni kweli kwamba watumiaji wa ARV wanaweza kufahamika

Ni kweli kwamba watumiaji wa ARV wanaweza kufahamika

Huu uzi umejaa unyanyapaa wa hali ya juu sana.........mtoa mada jua kwamba ipo siku utakua kama wao.........kama sio wewe basi hata ndugu zako
Kama umesoma kwa makini nimeeleza sina lengo la kunyanyapaa mtu.Uzi unalenga kuhamasisha vijana wachukue hadhari
 
Macho
Ngozi
Harufu
Pia Namna ambavyo jasho linaonekana katika ngozi yake kusweat kwake sio kwa kawaida kawaida.
Ila walau uwe umekaa mazingira ya kukutana nao mara kwa mara
nilikuwepo mahali na volunteer kuhusu haya mambo
nilijua mengi sana,
Pia kama wale ambao nivitengo vyao wao wakikuona tu aiseee anakupima akurizishe but anajua tayari

Haya niliyoyaongea ni kwa wale tu ambao wamekwisha anza kutumia arv ama madhara yamekwisha onekana tayari
ila wale wanaumwa halafu hawajaanza kutumia dawa na kinga ziko juuu
Ni jambp haliwezekani, ila kinga zikianza kupungua ngozi na utokaji wa majasho utamsemelea tu
 
Sio kweli mkuu

Nimewahi pia kuchunguza na kuona pia chini ya mashavu huwa wanavimba kiasi Kama mtu Mwenye matezi
 
Hiyo kua na mkono mnene na kinundu juu ya kiwiko siyo wale wakulima wa kutumia jembe la mkono ndiyo hupatwa na hivyo...

Cc: mahondaw
 
Ukimwi uliisha isha wenyewe na ulipita na upepo ukasomba uliowasomba na sisi tunaaendelea na yetu
Msubiri virus zingine zije ila hii imebuma kwa sasa
Ni biashara tu imebaki
 
Mkuu hatulengi kunyanyapaa kuna wimbi la vijana kutotilia maanani suala la hili janga sasa tunakumbushana angalau initial signs kabla mtu hajaingia mkenge maana wengine wanafanyisha ngono zembe ilhali wanajijua wameukwaa.
Shabaha ya huu uzi ni unyanyapaa.Sie wote ni watumia ARV watarajiwa.La kufanya ni kuacha ngono, kuwa na mpenz mmoja au kutumia mpira.
 
Shabaha ya huu uzi ni unyanyapaa.Sie wote ni watumia ARV watarajiwa.La kufanya ni kuacha ngono, kuwa na mpenz mmoja au kutumia mpira.
Umeongea vizuri nisamehe kwa kunyanyapaa japo sio lengo langu,inawezekana nimefeli tu namna ya uwasilishaji wa swali langu kupitia hii sledi tukuka.
 
Kwa namna afya zao zinavyokuwa bora?
Naomba izingatiwe kwamba sina nia ya kuwanyanyapaa ndugu zangu wanaoishi na VVU. Ila nimesikia kwamba ukiona mtu ana mkono mnene na kinundu juu ya kiwiko cha mkono anatumia hizi dawa. Kuna ukweli wowote? Maana kuna baadhi wasio waaminifu wanasambaza virusi kwa maksudi.
Inadaiwa kwamba hapo kwenye arm wrinkle panakuwa na nyama imejikusanya fulani hivi.
Si kila unaloambiwa liko sawa,mengine unadanganywa...
Mwili kubonyea inaweza kuwa dalili ya kisukari au figo kufail.

Kuna mambo mengi katika afya za wanadamu,sio kila dalili mnasingizia ni ukimwai.Huzingatii lishe bora na bado ukipata hitilafu kidogo unaanza kuwaza H.I.V sio sawa.

Ni heri kupima kwa vipimo kuliko kupima kwa macho
 
Back
Top Bottom