Ni kweli kwamba watumiaji wa ARV wanaweza kufahamika

Ni kweli kwamba watumiaji wa ARV wanaweza kufahamika

Wana Afya nzuriisiyo ya kawaida yao. wengi wao ni wanene. Ngozi Zao Zina Mfubao Hazing'ai na kumeremeta vizuri hata wajipake mafuta gani. Kuwatambua inahitaji uwe na macho makali sana
Sahihi
 
Sio fununu mkuu, msingi wa hoja yangu ni...
1: ARV ikifanya kazi yake iliyokusudiwa kuna kipindi kitafika damu ya muathilika kuwa 100% free of virus. Wote wanakimbilia kujificha kwenye BoneMarrows.
2: Katika mazingira haya utawezaje kusema huyu ni HIV kwa alama flani wakati hata hivyo virusi kwa wakati huo hana. Labda kama hizo ARV kuwepo mwilini zinamadhara flani yanayotambulika kwa nje.
Aah sikujua hili
 
Huu uzi sio mzuri sana kwani kwa vile hujafariki kumbuka nawe waweza kuwa pia ni mmoja kati ya watakaokuwa wanatumia kikubwa ni kumuomba Mungu awaondoshee wao na atustiri na sie ambao bad hatujaanza kutumia hizo dawa

Mambo ya kisayansi kama hayo huwa hayana viashiria mbayo sio sahihi kama unavyowaza, usimchukulie mtu mmoja kama sampuli ya athari ya madawa kwa wagonjwa wengine
 
Back
Top Bottom