SahihiWana Afya nzuriisiyo ya kawaida yao. wengi wao ni wanene. Ngozi Zao Zina Mfubao Hazing'ai na kumeremeta vizuri hata wajipake mafuta gani. Kuwatambua inahitaji uwe na macho makali sana
Hii mpya sasaKwa wanaume huwa na manyonyo makubwa
[emoji23][emoji23]Kwa wanaume huwa na manyonyo makubwa
HUUU NI UWONGOHiyo nyama inajikusanya hapo View attachment 1083179
Wewe si UMEPAUKA?Mbona mimi sina
Aah sikujua hiliSio fununu mkuu, msingi wa hoja yangu ni...
1: ARV ikifanya kazi yake iliyokusudiwa kuna kipindi kitafika damu ya muathilika kuwa 100% free of virus. Wote wanakimbilia kujificha kwenye BoneMarrows.
2: Katika mazingira haya utawezaje kusema huyu ni HIV kwa alama flani wakati hata hivyo virusi kwa wakati huo hana. Labda kama hizo ARV kuwepo mwilini zinamadhara flani yanayotambulika kwa nje.
hapo hata uzini nae bila kondom hupati ukimwi.Aah sikujua hili