Ni kweli lord eyes mwizi??

Ni kweli lord eyes mwizi??

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
14,478
Reaction score
18,341
LORDEYEZ3.jpg


NAAMINI WOTE TUMESIKIA KISA CHA HUYU BWANA KUDAIWA kuhusishwa na wizi wa vifaa vya magari.na naamini pia asilimia 90 ya wote waliosoma au kusikia taarifa hizo wameamini kwamba huyu jamaa ni kibaka na hasa akihusishwa na madawa ya kulevya.simtetei huyu jamaa lakini tumpe pia haki yake kiubinadamu,katika yote hayo usikute huyu jamaa si mwizi na wala hajihusishi na vitendo hivyo,inawezekana kabisa kwamba kwa namna ingine kabisa amejikuta kahusishwa na hivyo vitendo bila hata yeye kuelewa kaingizwa vipi,au la aliuziwa mojawapo ya vifaa vilivyoibiwa na ndipo zigo la k**ba likamwangukia,na kwa bongo kila kitu kinawezekana,nakumbuka niliwahi kupakaziwa nimebeba madawa ya kulevya pale airport na wale jamaa eti usalama wa taifa waliniweka pale kwa masaa matano mpaka wakalazimisha kuninyanganya baadhi ya pesa nizlizotua nazo baada ya kugoma kutoa rushwa.walinivuruga akili kisaikolojia kiasi kwamba nikapata ajali ya kufa siku hiyo hiyo baadae ila mungu akasaidia nikapona.bado naandaa hicho kisa cha bongo ntakiweka hapa.kwa kweli siku hizi naichukia Tanzania,maana siyo ile nilikua nikiimba naipenda kwa moyo wote
 
LORDEYEZ3.jpg


NAAMINI
WOTE TUMESIKIA KISA CHA HUYU BWANA KUDAIWA kuhusishwa na wizi wa vifaa
vya magari.na naamini pia asilimia 90 ya wote waliosoma au kusikia
taarifa hizo wameamini kwamba huyu jamaa ni kibaka na hasa akihusishwa
na madawa ya kulevya.simtetei huyu jamaa lakini tumpe pia haki yake
kiubinadamu,katika yote hayo usikute huyu jamaa si mwizi na wala
hajihusishi na vitendo hivyo,inawezekana kabisa kwamba kwa namna ingine
kabisa amejikuta kahusishwa na hivyo vitendo bila hata yeye kuelewa
kaingizwa vipi,au la aliuziwa mojawapo ya vifaa vilivyoibiwa na ndipo
zigo la k**ba likamwangukia,na kwa bongo kila kitu
kinawezekana,nakumbuka niliwahi kupakaziwa nimebeba madawa ya kulevya
pale airport na wale jamaa eti usalama wa taifa waliniweka pale kwa
masaa matano mpaka wakalazimisha kuninyanganya baadhi ya pesa nizlizotua
nazo baada ya kugoma kutoa rushwa.walinivuruga akili kisaikolojia kiasi
kwamba nikapata ajali ya kufa siku hiyo hiyo baadae ila mungu akasaidia
nikapona.bado naandaa hicho kisa cha bongo ntakiweka hapa.kwa kweli
siku hizi naichukia Tanzania,maana siyo ile nilikua nikiimba naipenda
kwa moyo wote

Yote yanaweza kutokea au co.
 
A na B yote ni sawa,inaweza kuwa kweli or jumba bovu limemuangukia,tusubiri maamuz ya mahakama tuone😕
 
kwa sie tulozoea kufua mashuka tukayasubiria yakauke tunajua mteja anauwezo gani ila kwa yale makosa 30 alobambikiwa jamaa amegeuzwa mbuzi wahitima!
 
Inauma sana kuona kijana ambaye ni kioo cha jamii ni mwizi! Kweli muziki haulipi!
 
inawezekana but uyu c ndie jamaa aliyemwaribu ray c basi uyu ni kibaka kweli.
 
Huyu jamma ni kibaka,anaiba power windows,anachukua laptop kama ipo.. Ndo hawa wanavunja magari, tena akishakosaga ela ya unga ndo kabisaa naomba Mungu giza liingie akavunje magari ya watu.

Wamfunge tuu huyu mzushi, ndo kasababisha Ray c kawa teja
 
inawezekana akawa amefikia hapo,ila makosa anayoshtakiwa nayo yamekua mengi mno
 
Ni mwizi kutokana na vithibiti!
 
beef za kimuziki zimechangia Q chief ndo Kubwa la mabedui na wezi mlima ni city wala habughuziwi.. Aliyemfundisha Unga Ray C ni TID hta Ray C mwenyewe kasema, na maisha ya Lodiiii yalianza haribika alipoanza mahusiano na Ray C tuliwambia lakini Ray C sio mwanamke ni ibilisi hata hii issue sio kiviile tunajua Ommy dimpoz kwa nini kafanya hivyo soon tutaweka mambo hadharani Kisa CHA yeye na broooo, pamoja sana mwana N2N na familia
 
Back
Top Bottom