britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Hahahahahahahaha stori mnazibadilisha tyuuuuuWalisomba maiti kwa malori, wamezipeleka kule Wazi...Twiga Cement kwenda kuziteketeza kwenye yale matanuri ya kuchomea na kuyayushia mawe.
Mkifuatilia pale Twiga lazima mtaambiwa kuwa siku mbili tatu hizi watu hawakutakiwa kwenda kufanya kazi lakin mitambo iliwashwa
Naongea ninachojua
Britanicca
Wewe kiokote una unacho kijua?! Au una toa ushuzi wa kunde hapo kwa shemeji Yako?!Hahahahahahahaha stori mnazibadilisha tyuuuuu
Leo ana furaha sana kuona watu wameuliwa.Wewe kiokote una unacho kijua?! Au una toa ushuzi wa kunde hapo kwa shemeji Yako?!
Pyeeeeeeeeeeeeee Toto pumbavuHii pia ndugu yangu mwanajeshi kaniambia hivyo hivyo.
Nikwambie tu Samia wewe ndiye mtu ambaye haupo salama kuliko watu wote katika nchi hii.
Kwa majonzi niliyo nayo kama Kuna anaweza nisogezea huduma ya KIFO kwa koment zangu namkaribisha.Leo ana furaha sana kuona watu wameuliwa.
Kuna boda kauliwa kitaani kwetu kama masikhara vileKwa majonzi niliyo nayo kama Kuna anaweza nisogezea huduma ya KIFO kwa koment zangu namkaribisha.
Nilicho shuhudia ni crime against humanity..
Watu wapo barabara wanaenda majumbani mwao askari Wana wafyatulia risasi za moto usawa wa tumbo na KICHWANI.
Alafu watu wanataka kunyamazisha / damu za watanganyika wasio na hatia
Pyeeeeeeeeeeeeee Toto pumbavu
Kuna bro yupo kwenye harakati zake za maisha karushiwa bomu la machozii kufariki.Kuna boda kauliwa kitaani kwetu kama masikhara vile
Be strong 💪Moyo wangu unaugua sana, nashindwa kupata usingizi sijui nifanye nini jamani
Upo poaa.Huko mikoani wame jazwa kwenye magunia lory ziko speed njiani, wengine wame fukiwa kwenye mashimo.
Ukienda kituoni wafungwa 60, walio potea 200.