GE2025 Ni kweli maiti zimebebwa na canter. Pia nyingine zimepelekwa Twiga

GE2025 Ni kweli maiti zimebebwa na canter. Pia nyingine zimepelekwa Twiga

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
uliona ule mtiti wa kuchoma choma vitu na kuharibu majengo ungekuwa wewe ungeakuwa wewe ungefanyaje?

risasi kwanza ili watu waheshimu utawala
Tunaendelea kuwashauri vyombo vya ulinzi na usalama acheni kuwa emotional.

Cha kufanya kilikuwepo…..

Majengo unafananisha na uhai wa watu, nyie watu mnawachukia watanganyika kiasi gani? Huna tofauti na Mombo anaulizwa na BBC kuhusu vifo yeye anazungumzia properties.
 
Lusungo wewe ni mkongwe, pamoja na mapenzi yako kwa chama na serikali kwenye hizi nyuzi ungekausha tu mzee baba...

Trauma ambayo watu wamepitia haswa watoto wadogo kwa siku 4 mfululizo sio ya kuibeza na kuleta ushabiki wa kisiasa...

Risasi zimepigwa mitaani huku ndani ya majumba kukiwa na watoto wadogo waliokuwa traumatized na kuamini kifo kimewasogelea...

Kuna mitaa haswa ile iliyokuwa kitovu cha waandamanaji, milio ya risasi ilikuwa ikisikika hadi usiku wa manane, kwa akili za kawaida hakukuwa na waandamanaji mida hiyo, je hizo risasi zilikuwa zinaelekezwa kwa nani?

Watu wamepoteza maisha mzee, acha kabisa...
Huyu alibaki na makovu baada ya Mbowe kushindwa kwenye uchaguzi wa cdm. Walikuwa wanatumikanl kuifanya cdm kama chama cha kuilinda ccm. Sasa wamepigwa chini hadi leo ana maumivu.
 
Lakini yote kwa yote watanganyika mlikua hamjawahi kukutana na dhahma kma hii tuulizeni ss wazbr ukaidi kma huu umesababisha maafa makubwa lakini mkaambiwa msiandamane hamkusikia mpka limewakuta kma hili natumai jamii ishajifunza sasa vurugu hazina macho alokuwemo na asokuwemo wote ndani ya ulingo.
Kwamba tulitakiwa tusiandamane ili tuendelee kupata viongozi tusiowataka au unataka kumaanisha nini? Au unataka kuhalalisha Samia kukaa madarakani kwakuwa ni mzanzibar mwenzio?
 
Kwamba tulitakiwa tusiandamane ili tuendelee kupata viongozi tusiowataka au unataka kumaanisha nini? Au unataka kuhalalisha Samia kukaa madarakani kwakuwa ni mzanzibar mwenzio?
Umepata faida ipi baada ya kufnya maandamano?
 
Hauko peke yako dada, tupo wengi sana tunaopitia kipindi kigumu.

Nguvu waliyotumia ni kubwa ambayo haijawahi kuonekana duniani kote kwa hii miaka ya karibuni.

Halafu mbaya zaidi kuna yule kichwa pumbu waziri wa mambo ya nje, anahojiwa na Al jazeera anakataa eti hakuna nguvu kubwa iliyotumika na idadi ya watu waliokufa haifiki hata 700..

...alinighafilisha sana kwakweli, kidogo nipasue TV yangu.
Nguvu iliyotumika ni ndogo mno mno angalia china walideal na 1989 Tiananmen Square protests and massacre, na hii April 1999 demonstration by Falun Gong practitioners hapa walipig a watu 23000 chap chap , tarehe 29 watu wameonywa usitoke usiku wanatoka sasa si kupimana nguvu? unatakaje tena ingekuwa enzi ya mahita ilitakiwa saahizi iwe 9000 na itakuwa mwisho wa kiburi mavi tumboni
 
Kuna boda kauliwa kitaani kwetu kama masikhara vile
km alipora mitungi ya gesi,simu,mke wa mtu huku adai anaandamana huyo mtu unaweza kurudi kumuua tena..
Kapitiwa bahati mbaya Mungu amrehemu.
Kama ni kundi la wale vibaka afie mbere no mercy
 
Back
Top Bottom