ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 8,681
- 16,290
Mfano wa hizo njia ambazo hazijawahikutumika?njia mbona zipo nyingi sana za kupinga hata Dr slaaa amewashauri sana huko club house njia sahihi
Mfano wa hizo njia ambazo hazijawahikutumika?njia mbona zipo nyingi sana za kupinga hata Dr slaaa amewashauri sana huko club house njia sahihi
Huyo afadhali hawakumuuwa.Inahitaji ubinadamu ukutoke kabisa, kisha uvale roho fulani ya kishetani ndio unaweza kufanya matendo waliofanya hao mahayawani.
Hata akili lazima zikufyatuke kwanza.
Pale kinyerezi kuna dogo walikutana nae njiani alikuwa ametumwa kuemea mboga, walipiga risasi juu.. dogo kwa uoga akatupa boda boda na mizigo yake hapo kisha akakimbia, walichokifanya hao maaskari wakashuka kwenye gari yao...
...kisha wakivunja tenki la mafuta ya ile boda halafu wakaichoma, wakaiacha hapo inaungua.
Sasa hao ni watu ambao wako timamu kweli? Hao ni watu ambao walikuwa wanazuia maandamano kweli?
Hao si ni mashetani tu walioletwa na shetani mkuu wa kizanzibar kuja kuharibu maisha ya watu.
Mkuu una maanisha nini kusema ''Nyie watu mnawachukia watanganyika kiasi gani?" ni watu gani hao unaowaongelea? hapa sijakuelewa.Tunaendelea kuwashauri vyombo vya ulinzi na usalama acheni kuwa emotional.
Cha kufanya kilikuwepo…..
Majengo unafananisha na uhai wa watu, nyie watu mnawachukia watanganyika kiasi gani?Huna tofauti na Mombo anaulizwa na BBC kuhusu vifo yeye anazungumzia properties.
Pole Sana Kaka wengi roho zetu zinauma Sana sio kidogoKwa majonzi niliyo nayo kama Kuna anaweza nisogezea huduma ya KIFO kwa koment zangu namkaribisha.
Nilicho shuhudia ni crime against humanity..
Watu wapo barabara wanaenda majumbani mwao askari Wana wafyatulia risasi za moto usawa wa tumbo na KICHWANI.
Alafu watu wanataka kunyamazisha / damu za watanganyika wasio na hatia
Wote wanaodefend properties kuliko maisha ya watu akiwemo Mombo.Mkuu una maanisha nini kusema ''Nyie watu mnawachukia watanganyika kiasi gani?" ni watu gani hao unaowaongelea? hapa sijakuelewa.
Wanao ua watu ni tume ya uchaguzi hicho ndo kiini cha mauwaji tanzania, huwa hawautendei haki uchaguzi tangu viama vingi vianze. Tume wasipojitenga na kujipendekeza kwa watawala manung'uniko na vurugu za uchaguzi hazitakuja kuisha tanzania.watu walimbiwa wasiandamamne wakashupaza shingo , aliyewashawishi anawacheka vijana yeye keshavuta chake kitamuuuuu na wanae wazima nakesho wanaenda shule
marekani tu juzi Trump kalamika, je Warussia wasemaje ? au wachina ?Wanao ua watu ni tume ya uchaguzi hicho ndo kiini cha mauwaji tanzania, huwa hawautendei haki uchaguzi tangu viama vingi vianze. Tume wasipojitenga na kujipendekeza kwa watawala manung'uniko na vurugu za uchaguzi hazitakuja kuisha tanzania.
Kama watu wangeandamana bila ya kuchoma moto vitu wangepungukiwa na nini? Tena hata jeshi lilikuwa likiwalinda na kuwaacha waandamanaji waandamane. Tatizo fujo za kuanza kuchoma moto mali za umma na za watu binafsi ndiyo sababu iliyopelekea nguvu ya ziada itumike hata kufikia kutumia risasi za moto...kwani wananchi wakiandamana ni lazima kuwauwa?
..kwanini Mama Abduli hakutekeleza 4R ili kuepusha maandamano wakati wa uchaguzi?
Aisee! Sasa enzi za Magu mbona ulikuwa na makasiriko mengi alafu haya mazito unafanya mzaha? Kumbe issue ni maslahi sio Taifa!!Pyeeeeeeeeeeeeee Toto pumbavu
Kwa majonzi niliyo nayo kama Kuna anaweza nisogezea huduma ya KIFO kwa koment zangu namkaribisha.
Nilicho shuhudia ni crime against humanity..
Watu wapo barabara wanaenda majumbani mwao askari Wana wafyatulia risasi za moto usawa wa tumbo na KICHWANI.
Alafu watu wanataka kunyamazisha / damu za watanganyika wasio na hatia
Hivi Wazanzibari kiliwakuta nini?Lakini yote kwa yote watanganyika mlikua hamjawahi kukutana na dhahma kma hii tuulizeni ss wazbr ukaidi kma huu umesababisha maafa makubwa lakini mkaambiwa msiandamane hamkusikia mpka limewakuta kma hili natumai jamii ishajifunza sasa vurugu hazina macho alokuwemo na asokuwemo wote ndani ya ulingo.
Naishi jirani na kituo cha polisi cha wilaya.... sijawahi kusikia risasi nyingi namna hii zinapigwa usiku wa manane...swali hili nilikuwa najiuliza Unasikia DIRISHANI risasi zinapigwa NJE ukicheck ni saa 6 usiku unajiuliza nani anaandamana saa 6 usiku
nikawa nawaza mbna kma ASKARIndio wanaleta TAHARUKI zaidi
ooh leo ndio nimejua zile RISASI watu ndio walikuwa wanauliwa huko NJE dah !!!
Mbona tunaiga mabaya tu ya China hatuigi mazuri yao? China inapinga sana ufisadi, ukifanya ufisadi unapata adhabu kali sana mfano kufungwa maisha au hata kunyongwa, kwa nini tusiige vitu kama hivyo, at least tuishie hapo kwenye kufungwa kifungo cha maisha. We unaona inafaa kuiga mauaji ya waandamanaji wasio hata na silaha tena hata hiyo China ilifanya miaka ya 1980s huko, sisi tunafanya 2025 😥Nguvu iliyotumika ni ndogo mno mno angalia china walideal na 1989 Tiananmen Square protests and massacre, na hii April 1999 demonstration by Falun Gong practitioners hapa walipig a watu 23000 chap chap , tarehe 29 watu wameonywa usitoke usiku wanatoka sasa si kupimana nguvu? unatakaje tena ingekuwa enzi ya mahita ilitakiwa saahizi iwe 9000 na itakuwa mwisho wa kiburi mavi tumboni