GE2025 Ni kweli maiti zimebebwa na canter. Pia nyingine zimepelekwa Twiga

GE2025 Ni kweli maiti zimebebwa na canter. Pia nyingine zimepelekwa Twiga

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Walisomba maiti kwa malori, wamezipeleka kule Wazo...Twiga Cement kwenda kuziteketeza kwenye yale matanuri ya kuchomea na kuyayushia mawe.

Mkifuatilia pale Twiga lazima mtaambiwa kuwa siku mbili tatu hizi watu hawakutakiwa kwenda kufanya kazi lakin mitambo iliwashwa

Naongea ninachojua


Britanicca
Britannica tulieni tu mmeshindwa kutusasaidia kuleni nchi yenu mimi kwasasa simwamini mtu yeyote mwenye nasaba na vyombo vya ulinzi wote mnatuuza tu mko kimaslahi yenu huku nchi ikipoteza rasilimali zake.

Acha kutuletea hata hizo Habari za jikoni hamtusaidii lolote acha tuishi maisha hayahaya wakati tunasubiri ni lini mtakuja kututeka na kutuua maana najua baada ya kutuangamiza kihalaiki sasa hivi mtaanza kutuua mmoja mmoja zalianeni sana ili mtuuwe wote nchi iwe ya vizazi vyenu tu
 
Walisomba maiti kwa malori, wamezipeleka kule Wazo...Twiga Cement kwenda kuziteketeza kwenye yale matanuri ya kuchomea na kuyayushia mawe.

Mkifuatilia pale Twiga lazima mtaambiwa kuwa siku mbili tatu hizi watu hawakutakiwa kwenda kufanya kazi lakin mitambo iliwashwa

Naongea ninachojua


Britanicca
Pale America nasikia Kuna furnace za extraction of minerals toka miili ya watu waliokufa!

Wangekodi kama kadhaa hivi zingesaidia kupata madini ambayo yangeuzwa kufidia uharibifu wa Mali binafsi na miundombinu!!
 
Hii JF ndani ya 10 years imeumbua wengi sana waliojifanya watetezi wa haki kumbe issue ni nani yupo madarakani.
Kama ambavyo wewe uliipenda CDM ya padre Slaa...baadae Magufuli na sasa umerudisha mkia shwaini mkubwa
 
Nimeingia whatsapp status zaidi ya contacts zangu 13 wamepost picha za RIP za watu tofauti. Hizi damu hazitamuacha salama
 
Back
Top Bottom