Mnanguliti
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 941
- 2,759
Britannica tulieni tu mmeshindwa kutusasaidia kuleni nchi yenu mimi kwasasa simwamini mtu yeyote mwenye nasaba na vyombo vya ulinzi wote mnatuuza tu mko kimaslahi yenu huku nchi ikipoteza rasilimali zake.Walisomba maiti kwa malori, wamezipeleka kule Wazo...Twiga Cement kwenda kuziteketeza kwenye yale matanuri ya kuchomea na kuyayushia mawe.
Mkifuatilia pale Twiga lazima mtaambiwa kuwa siku mbili tatu hizi watu hawakutakiwa kwenda kufanya kazi lakin mitambo iliwashwa
Naongea ninachojua
Britanicca
Kwa upishi ule wa matokeo hiki Chama kipo sana madarakani.Poleni sana jamani. Poleni sana hii dhahma si ndogo.
Tukiondoe hiki Chama Cha Mauaji.
Pale America nasikia Kuna furnace za extraction of minerals toka miili ya watu waliokufa!Walisomba maiti kwa malori, wamezipeleka kule Wazo...Twiga Cement kwenda kuziteketeza kwenye yale matanuri ya kuchomea na kuyayushia mawe.
Mkifuatilia pale Twiga lazima mtaambiwa kuwa siku mbili tatu hizi watu hawakutakiwa kwenda kufanya kazi lakin mitambo iliwashwa
Naongea ninachojua
Britanicca
Hii JF ndani ya 10 years imeumbua wengi sana waliojifanya watetezi wa haki kumbe issue ni nani yupo madarakani.Udini unakusumbua
Kama ambavyo wewe uliipenda CDM ya padre Slaa...baadae Magufuli na sasa umerudisha mkia shwaini mkubwaHii JF ndani ya 10 years imeumbua wengi sana waliojifanya watetezi wa haki kumbe issue ni nani yupo madarakani.
Ni kweli mkuu watu wapo kwenye pilika za kurudi makwao mtu anamimina risasi..Hata kama anaandamana huwezi mshambulia kwa risasi mtu asiye na silaha ya moto.
Lissu ndiye aliharibu 4RKimama chenu kilikuja na 4R ziliishia wapi ?. Kilikuwa kitakatifu kwelikweli kikituonesha Kila aina ya ufisadi na uchafu uliofanywa na mtangulizi wake hahaha dah.
Kaka nafurahi kukuona tenaPole Sana Kaka wengi roho zetu zinauma Sana sio kidogo
Haya mangese melo anayalea sanaWewe kiokote una unacho kijua?! Au una toa ushuzi wa kunde hapo kwa shemeji Yako?!
Niko salama japo mzee wangu siijuo hali yake wala kujua Kama anaishi au ameshatanguliaKaka nafurahi kukuona tena
Hata wangekuwa waandamanaji, hawakustahili kuuliwa.Wengi wa waliouwawa hata hawakuwa waandamanaji. Waliokuwa wakitembea kurudi home, waliokuwa mitaani kwao, yaani majority hawakuwa waandamanaji.
Aliharibuje nikumbushe bossLissu ndiye aliharibu 4R
Nimeingia whatsapp status zaidi ya contacts zangu 13 wamepost picha za RIP za watu tofauti. Hizi damu hazitamuacha salama
"Mwanamke mpumbavu huharibu nyumba yake."Halafu Samuya Anasema ni wa kutoka Nje
Jinai haifi. Siku zinakujaHahahahahahahaha stori mnazibadilisha tyuuuuu