Madini leo yanaweza kuwa na faida lakini kesho ikatokea aina nyingine ya madini ikawa na sifa kuliko hayo ya awali hivyo ya awali yakakosa soko.View attachment 2602708
Kwamba sisi tuaambulia $ 600+ milioni wakati wao watavuna mabilioni ya dollars kila mwaka.
Madini ya graphite yanapatikana kwa wingi huko Lindi wakati niobium ipo tele pale Panda Hill Mbeya. Kwa nini tusingesubiri nchi ipate uwezo tuweze kuchimba wenyewe badala ya kuwapa hawa wa Australia kwa bei ya kutupa?
Prof. Kabudi na Prof. Mruma kweli hamkuona mtego huu Wa- Australia hawa hakituingiza chaka!
Tafadhali tunaomba ufafanuzi!
Hakuna kitu kama hicho.. 99% ya madini yote yamesha gunduliwa..Madini leo yanaweza kuwa na faida lakini kesho ikatokea aina nyingine ya madini ikawa na sifa kuliko hayo ya awali hivyo ya awali yakakosa soko.
Msoga Kingdom!View attachment 2602708
Kwamba sisi tuaambulia $ 600+ milioni wakati wao watavuna mabilioni ya dollars kila mwaka.
Madini ya graphite yanapatikana kwa wingi huko Lindi wakati niobium ipo tele pale Panda Hill Mbeya. Kwa nini tusingesubiri nchi ipate uwezo tuweze kuchimba wenyewe badala ya kuwapa hawa wa Australia kwa bei ya kutupa?
Prof. Kabudi na Prof. Mruma kweli hamkuona mtego huu Wa- Australia hawa hakituingiza chaka!
Tafadhali tunaomba ufafanuzi!
Only focus. Kikubwa maendeleo basi.View attachment 2602708
Kwamba sisi tuaambulia $ 600+ milioni wakati wao watavuna mabilioni ya dollars kila mwaka.
Madini ya graphite yanapatikana kwa wingi huko Lindi wakati niobium ipo tele pale Panda Hill Mbeya. Kwa nini tusingesubiri nchi ipate uwezo tuweze kuchimba wenyewe badala ya kuwapa hawa wa Australia kwa bei ya kutupa?
Prof. Kabudi na Prof. Mruma kweli hamkuona mtego huu Wa- Australia hawa hakituingiza chaka!
Tafadhali tunaomba ufafanuzi!
Madini leo yanaweza kuwa na faida lakini kesho ikatokea aina nyingine ya madini ikawa na sifa kuliko hayo ya awali hivyo ya awali yakakosa soko.
Wacha kudhalilisha na kubeza.Huyo demu ni expert wa madini? Tatizo kila mtu anajidai expert. Nyie mmejuaje kama madini yaliyopo ni worth billions of dollars?
Unataka wasubiri kuchimba kwani vizazi vijavyo vina thamani kuliko vya Sasa?
Kwenye hiyo partnership serikali ya bongo inatoa capital, utaalam, vifaa au nini? Mnataka msitoe kitu na mpewe 100% mna wazimu? Bado mnapata ajira na Kodi.
Nashauri tukafungue kesi Mahakamani kuweka zuio la utekelezaji wa huo mkataba hadi mapitio ya mkataba kati ya Serikali na Kampuni hizo yawe yamefanyika na timu yenye wadau mtambuka including Tundu LissuView attachment 2602708
Kwamba sisi tuaambulia $ 600+ milioni wakati wao watavuna mabilioni ya dollars kila mwaka.
Madini ya graphite yanapatikana kwa wingi huko Lindi wakati niobium ipo tele pale Panda Hill Mbeya. Kwa nini tusingesubiri nchi ipate uwezo tuweze kuchimba wenyewe badala ya kuwapa hawa wa Australia kwa bei ya kutupa?
Prof. Kabudi na Prof. Mruma kweli hamkuona mtego huu Wa- Australia hawa hakituingiza chaka!
Tafadhali tunaomba ufafanuzi!
Huyo demu ni expert wa madini? Tatizo kila mtu anajidai expert. Nyie mmejuaje kama madini yaliyopo ni worth billions of dollars?
Unataka wasubiri kuchimba kwani vizazi vijavyo vina thamani kuliko vya Sasa?
Kwenye hiyo partnership serikali ya bongo inatoa capital, utaalam, vifaa au nini? Mnataka msitoe kitu na mpewe 100% mna wazimu? Bado mnapata ajira na Kodi.
Zama hizi bado tunaibiwa kama kina chief mangungo?Tunataka tupate kitu kama Equinor ASA na sio hizo porojo za 16% za kwenye makaratasi wakati unakua haupo kwenye bodi ya wakurugenzi na wala haujui kiasi gani kimezalishwa na kimeingiza kiasi gani, yaani watacalculate kila kitu halafu wakukadirie sasa hiyo hatuitaki ni porojo kama za miaka yote na ni moja ya mikataba mibovu taifa limeingia
Nashauri tukafungue kesi Mahakamani kuweka zuio la utekelezaji wa huo mkataba hadi mapitio ya mkataba kati ya Serikali na Kampuni hizo yawe yamefanyika na timu yenye wadau mtambuka including Tundu Lissu
Zama hizi bado tunaibiwa kama kina chief mangungo?