Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
- Thread starter
- #21
Expert wa madini siyo lazima ajue marketing ya hayo madini kwa hiyo hoja yako ni mfu.Huyo demu ni expert wa madini? Tatizo kila mtu anajidai expert. Nyie mmejuaje kama madini yaliyopo ni worth billions of dollars?
Unataka wasubiri kuchimba kwani vizazi vijavyo vina thamani kuliko vya Sasa?
Kwenye hiyo partnership serikali ya bongo inatoa capital, utaalam, vifaa au nini? Mnataka msitoe kitu na mpewe 100% mna wazimu? Bado mnapata ajira na Kodi.
Kuhusu kuchimba baadaye ni katika kujipa muda wa kujijengea uwezo wa kifedha na kitaalam, hivyo siyo suala la thamani ya vizazi.
Kwa hoja ya partnership hapo ndiyo penye wizi wenyewe mkija kustuka mmeisha liwa tayari!