Ni kweli makampuni ya Australia yametuingiza chaka kuvuna Graphite na Niobium mikoa ya Lindi na Mbeya

Ni kweli makampuni ya Australia yametuingiza chaka kuvuna Graphite na Niobium mikoa ya Lindi na Mbeya

Technology inabadilika kwa kasi sana hizo rare minerals zinaweza kuwa outdated very soon.
Hatuna pesa na technology hatuna options zetu ni very limited
Hawa akina Ileje wanakomaa kubisha alimradi wajaze server. Yaani hata waliosoma sociology wakija JF wanajifannya ni ma geologist
Penseli zingekuwa ghali sana.
Naungana na wewe, tukubali tulichopata for a beginning
 
Back
Top Bottom