Ni kweli makampuni ya Australia yametuingiza chaka kuvuna Graphite na Niobium mikoa ya Lindi na Mbeya

Ni kweli makampuni ya Australia yametuingiza chaka kuvuna Graphite na Niobium mikoa ya Lindi na Mbeya

Hivi kuna sababu gani za msingi za kuficha hii mikataba to the SOVEREIGN [ Wananchi] ambao mambo yakiharibika wao ndio wanakuwa accountable? Kuna mtu anaweza kuelezea mantiki hasa ya kuifanya hii mikataba Siri?
Kama Kweli nchi inataka kupiga vita rushwa, tuanzie kwa kuiweka hii mikataba wazi; kuficha ficha ndio kunalea hizi rushwa tulizoziona kwenye makinikia!! Halafu tunakuja lalamika kuwa fedha zimefichwa China na hao hao waliozificha China tunawapa kazi ya kunegotiate mikataba mingine!! What stupidity or may be complicity to these crimes!
Hivi unafahamu maana ya mkataba? Sijawahi ona nchi yeyote ambayo mkataba wa uwekezaji uko wazi kwa wananchi.

Tuna watu tumewapa kazi hizo na ni wataalamuu, tuwaamini kwa kazi hii
 
Hivi unafahamu maana ya mkataba? Sijawahi ona nchi yeyote ambayo mkataba wa uwekezaji uko wazi kwa wananchi.

Tuna watu tumewapa kazi hizo na ni wataalamuu, tuwaamini kwa kazi hii

HUo uliondika ni upuuzi unaotumiwa na wajanja kuhujumu nchi; kwanza sio sahihi kusema duniani kote mikataba ya uwekezaji haiwekwi wazi na hata kama hiyo ni Kweli hatuna ulazima wa kufuata mkumbo wa nchi nyingine!! Nilitegemea nchi kama yetu ambayo haina watendaji waaminifu [ angalia historia ya mikataba yaa Barrick Gold/ Acacia] ndio ingekuwa mbele katika kuweka mikataba yake wazi!!!

Kama wananchi [ SOVEREIGN ] ndio wanaotwishwa mzigo wa kulipa pale serikali inapotakiwa kuwalipa hao wawekezaji kutokana na kusaini mikataba mibovu , kwanini wasijue kile kilichomo kwenye hiyo mikataba kabla haijasainiwa? Usiri huo una justification gani and for whose interest?
 
View attachment 2602708
Kwamba sisi tuaambulia $ 600+ milioni wakati wao watavuna mabilioni ya dollars kila mwaka.

Madini ya graphite yanapatikana kwa wingi huko Lindi wakati niobium ipo tele pale Panda Hill Mbeya. Kwa nini tusingesubiri nchi ipate uwezo tuweze kuchimba wenyewe badala ya kuwapa hawa wa Australia kwa bei ya kutupa?

Prof. Kabudi na Prof. Mruma kweli hamkuona mtego huu Wa- Australia hawa hakituingiza chaka!

Tafadhali tunaomba ufafanuzi!
Technology inabadilika kwa kasi sana hizo rare minerals zinaweza kuwa outdated very soon.
Hatuna pesa na technology hatuna options zetu ni very limited
 
Niwekee hapa mkataba wowote duniani kati ya mwekezaji na nchi husika ambao uko wazi kwa wananchi wote ndipo niamini kuwa mimi ni mpuuzi. Hivi unajuwa kwa nini parties wana saini NON DISCLOSURE AGREEMENTS (NDAs).

Kuna general terms wananchi wanaweza wakajua lakini unapokwenda kwenye specifics kama trade secrets, loyalties and patents lazimanutazuiwa na NDAs.
 
Technology inabadilika kwa kasi sana hizo rare minerals zinaweza kuwa outdated very soon.
Hatuna pesa na technology hatuna options zetu ni very limited
Duuh! Hii kali ya karne!
 
Niwekee hapa mkataba wowote duniani kati ya mwekezaji na nchi husika ambao uko wazi kwa wananchi wote ndipo niamini kuwa mimi ni mpuuzi. Hivi unajuwa kwa nini parties wana saini NON DISCLOSURE AGREEMENTS (NDAs).

Kuna general terms wananchi wanaweza wakajua lakini unapokwenda kwenye specifics kama trade secrets, loyalties and patents lazimanutazuiwa na NDAs.
Kuna sababu gani za msingi apart from being standard practice ya kudaini NDAs?
 
Niobium imetoka wapi hapo mlima panda, historia inasema wazungu waliokuwa wanachimba dhahabu hapo, Kawawa akawafukuza wakiwa na tani kadhaa za dhahabu, wakazizamisha ardhini tukose wote, serikali ikajua kuna siku watarudi kuyabeba, wakaweka kambi ya magereza hapo. Leo dhahabu imegeuka niobium?
 
View attachment 2602708
Kwamba sisi tuaambulia $ 600+ milioni wakati wao watavuna mabilioni ya dollars kila mwaka.

Madini ya graphite yanapatikana kwa wingi huko Lindi wakati niobium ipo tele pale Panda Hill Mbeya. Kwa nini tusingesubiri nchi ipate uwezo tuweze kuchimba wenyewe badala ya kuwapa hawa wa Australia kwa bei ya kutupa?

Prof. Kabudi na Prof. Mruma kweli hamkuona mtego huu Wa- Australia hawa hakituingiza chaka!

Tafadhali tunaomba ufafanuzi!
Hatuna utamaduni wa kuwekeza Tu waoga Sana itachukua miaka mingi kupata wawekezaji
Tunapenda kuwekeza miradi ya uwoga kuporomosha majumba.
Bora yachimbwe Tu Kwanza tunalilia ajira tunasomesha Kwa ajili ya ajira.
Suala la watanzania kuwekeza bado sana
 
Cha kwanza ningeangalia gharama za uwekezaji, Tanzania leo uwekezaji usiozidi $500m ikiamua kupunguza matumizi ya anasa na kuzuia ubadhirifu ata kwa asilimia 80% inaweza kufanya yenyewe hiyo miradi bila ya mwekezaji; labda tuagize watu wenye know how on operating hiyo migodi kwa kuwalipa mishahara.

Second option ata kama kudunduliza hizo hela tunashindwa au tunaofia kukosa utaalamu kuendesha hiyo migodi bora ubia. Kabla ya kufanya hivyo muhimu ni kuangalia return of investment anazopata mwekezaji.

Mtu anaewekeza $370 million (kama hela katoa mfukoni kwake), halafu revenue $570 million baada ya kuondoa matumizi (costs of sales and expenses) labda tuseme $100 million. Kwenye net inabaki $470 million, 50% share of economic benefit anapata $235 million, ndani ya miaka mitatu anarudisha hela yake na kuvuna hongera zaidi ya $200m ni haki yake for his efforts.

Kuanzia mwaka wa nne kuendelea hizo $235 tunampa sadaka for nothing na anatarajia kupokea hiyo sadaka kwa miaka 33 na bado kuna kipengele cha kumuongezea muda.

Ukisema ufute huo mkataba ndio hayo ya shamba la Mtwara ndege kukamatwa mwekezaji anadai lease hold aijaisha wakati ata shamba lenyewe aliendelezi au sijui Dowans mkataba umeisha tunashitakiwa kwa sababu kuna MoU ya kuwaongezea muda na kuwalipa tsh 300 billions.

Embu tupeleke watu sahihi kwenye hizi negotiation, hawa wazungu awakutakiwa kupata ata 15% kwenye hiyo mikataba given future revenue potential na alichowekeza.

Naamini nitapata mawili matatu kwenye hili. Hivi hiyo 16% base ni nini?
 
Naamini nitapata mawili matatu kwenye hili. Hivi hiyo 16% base ni nini?
Base kwakeli sijui ni kitu gani, ila kwa mikataba tunayoongelea Tanzania ina 16% non diluted shares. Maana yake ni kwamba thamani zake aiwezi shuka iwapo huko mbele, new shares are issued in the capital market in future, which might dilutes the values of existing shares.
 
Niobium imetoka wapi hapo mlima panda, historia inasema wazungu waliokuwa wanachimba dhahabu hapo, Kawawa akawafukuza wakiwa na tani kadhaa za dhahabu, wakazizamisha ardhini tukose wote, serikali ikajua kuna siku watarudi kuyabeba, wakaweka kambi ya magereza hapo. Leo dhahabu imegeuka niobium?
Huu ujinga ulisomea wapi au nani alikusimulia?

Dhahabu kuzamishwa chini!

Kwa nini usiulize kwa wajuzi badala ya kujitangazia ujinga!
 
Naamini nitapata mawili matatu kwenye hili. Hivi hiyo 16% base ni nini?
Ni hisa za uwekezaji mtaji. Hisa hizi hazitapanda wala kushuka kwa mwenendo wa soko la mitaji.
 
Exactly, wachimbe na wao kama wanadhani ni rahisi rahisi tu.

Ardhi yote ya bongo ina madini wachimbe wapate hiyo 100% wanayotaka wawekeze kila kitu wenyewe from exploration, running costs, equipment, workforce, etc.

Migodi ya makaa ya mawe tu imewashinda. Leganga na mchuchuma inahitaji 3B TSH tu kufanya uzalishaji wenye tija umewashinda afu leo wanajidai kutaka kurun mgodi ambao hata hawana maabara nchini ya kupima sample zake.
Hii hapa nilienda hombolo na wachina

Kwenye lithium .....

Wabongo sahv wanachotakiwa kufanya wayakamate maeneo yenye
Madini mfano graphite, nickel, lithium nk....wawe na makaratasi yote
Sasa wao wakae mkao wa kula tu kutoka kwa hao wageni
Ila tukikaa kulialia tu bila kuchukua hatua kila siku tutakuwa watu wa kulalamika

Ova
IMG-20230430-WA0003.jpg
 
Madini ya kutengenezea Penseli hayana ughali wowote.
Watu wakishasikia madini tu basi ni mabilionsss [emoji1]
Hii imenikumbusha kisa kimoja kilitutokea morogoro,dc --- alikuja na team +wazee walikamata ruby corrhndumn,ilikuwa tanis 1 na nusu
Basi dc,na watu wake wakajuwa ule mzigo ulikuwa mabilion ,oh sijui tunawaibia+serikali
Tukawambia soko la ndani tunauza haya madini kg 1 ni 3000/
India huko bei ni $4
Tulivutana sana,mpk RMO moro alingilia kati wanasasiasa wakaambuka

Hata leo hii ukiambiwa bei ya gypsum
Utashanga....sema ili uione faida yake
Unatakiwa uchimba tons na tons

Na hapo mtaji+uwekezaji wake lZima uwe mkubwa

Roho zilitaka kuwatoka😂😂
 
Madini ya kutengenezea Penseli hayana ughali wowote.
Graphite is used in pencils, lubricants, crucibles, foundry facings, polishes, arc lamps, batteries, brushes for electric motors, and cores of nuclear reactors.
 
Graphite is used in pencils, lubricants, crucibles, foundry facings, polishes, arc lamps, batteries, brushes for electric motors, and cores of nuclear reactors.
Ni madini yaliyojaa bwelele kila Nchi.
 
Back
Top Bottom