Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Kwa huo Mkataba uliowekwa na hao viongozi wetu Makampuni ya asutralia wamevuna kwa kipofu asiyeweza kuona. Wametupiga sana kwa sababu ya Viongozi wetu wanajali sana matumbo yao bila ya kujali maslahi ya taifa letu. Makampuni ya Australia yatavuna kile walicho kipanda. Sisi Wa-Tanzania tutakuw akila siku tunakwenda kuwapigia magoti wazungu watupe misaada na mikobo nchi yetu itafilisika kwa mikopo itafika wakati nchi itauzwa kwa ajili ya kufidia mikopo toka kwa wafadhili itafika wakati pesa ya Tanzania itakuwa kama pesa ya Zimbabwe au pesa ya somalia au pesa ya kongo haina tena thamani.View attachment 2602708
Kwamba sisi tuaambulia $ 600+ milioni wakati wao watavuna mabilioni ya dollars kila mwaka.
Madini ya graphite yanapatikana kwa wingi huko Lindi wakati niobium ipo tele pale Panda Hill Mbeya. Kwa nini tusingesubiri nchi ipate uwezo tuweze kuchimba wenyewe badala ya kuwapa hawa wa Australia kwa bei ya kutupa?
Prof. Kabudi na Prof. Mruma kweli hamkuona mtego huu Wa- Australia hawa hakituingiza chaka!
Tafadhali tunaomba ufafanuzi!