Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
kwani kigogo2014 anasemaje???
siku hizi kawa kama mamlaka ya hali ya hewa[emoji38][emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani kigogo2014 anasemaje???
siku hizi kawa kama mamlaka ya hali ya hewa[emoji38][emoji38]
Mbona waliokuwa Dodoma siku hiyo ni maelfu. What kind of reasoning is this! Unaweza kumpeleka mahakamani kwakuwa tu siku ile alikuwa Dodoma?!Siku TL anapigwa risasi, Makonda alikuwa Dodoma. Hili tulikumbuke
Kwa mtuhumiwa inaitwa Circumstantial evidence.. Au Ushahidi wa kimazingira.Mbona waliokuwa Dodoma siku hiyo ni maelfu. What kind of reasoning is this! Unaweza kumpeleka mahakamani kwakuwa tu siku ile alikuwa Dodoma?!
Tulia uchunguzi ukamilikeMbona waliokuwa Dodoma siku hiyo ni maelfu. What kind of reasoning is this! Unaweza kumpeleka mahakamani kwakuwa tu siku ile alikuwa Dodoma?!
Weka akiba ya maneno mkuuMakonda hawatamweza, nawahakikishieni wakuu.
Umeonae![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dose dose.
tamthiria hii iko mwanzo kabisaa.
ndio nilishaweka hivyo, siwezi kuongezaWeka akiba ya maneno mkuu
Yaani hapa ndio tunatambulisha wahusika!Umeonae!
mm mkristo, ila sehem nyeti za uongozi zikishililiwa na waislamu maisha yanakuwa ya haki na mazuri..
ijapo sio wote though
mwinyi ali hassan, kikwete now samia
namkumbuka prof Assad pia, hiki chuma kwann wasikipangie majukumu mengine?
Kosa la jinai unashtakiwa na jamhuri kesi ya madai ndiyo individuals wanashtakiana.RPC ARUSHA? Impossible lakin , sababu wanaoshitaki ni PCCB . Hii siyo conflict of interest?
Anachunguzwa kama siku ile alikuwa Dodoma?!Tulia uchunguzi ukamilike
Daah! ingekuwa poa kweli yaani.
Siku Sabufa akitiwa pingu ndio siku ambayo Dar kutalipuka. Kesho Yake kutakua na uhaba mkubwa wa beer kuku na mbuzi.Kama Ni kweli Basi Leo dar watu mtalewa sana
Bashite hajakamatwa. Kinachofanyika niHabari wakuu na wanajamvi,
Kuna tetesi zinasambaa mitandaoni toka chini ya kapeti zinazodai ya kuwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bwana Paul Makonda yupo mikononi mwa vyombo vya dola kwa ajili ya tuhuma mbalimbali zinazomkabili.
Yaani kwa kifupi inasemekana Makonda tayari ameanza kuhojiwa na Takukuru.
Je, ni kweli?
Anapambana na Sadala nguvu kubwa ndio kaweka hukokwani kigogo2014 anasemaje???
siku hizi kawa kama mamlaka ya hali ya hewa[emoji38][emoji38]
Makonda ni TISSMakonda hawatamweza, nawahakikishieni wakuu.