Ni kweli Makonda anashikiliwa na Mamlaka za Serikali kwa mahojiano?

Mbona waliokuwa Dodoma siku hiyo ni maelfu. What kind of reasoning is this! Unaweza kumpeleka mahakamani kwakuwa tu siku ile alikuwa Dodoma?!
Kwa mtuhumiwa inaitwa Circumstantial evidence.. Au Ushahidi wa kimazingira.
 
Mbona waliokuwa Dodoma siku hiyo ni maelfu. What kind of reasoning is this! Unaweza kumpeleka mahakamani kwakuwa tu siku ile alikuwa Dodoma?!
Tulia uchunguzi ukamilike
 
mm mkristo, ila sehem nyeti za uongozi zikishililiwa na waislamu maisha yanakuwa ya haki na mazuri..
ijapo sio wote though


mwinyi ali hassan, kikwete now samia

namkumbuka prof Assad pia, hiki chuma kwann wasikipangie majukumu mengine?

haki kwa muono wako ni uhuru.lakini katika tafsiri yake sio kweli na ulichoandika.

historia iko wazi,viongozi wote wakristo ni wakali mno.
 
Kula mtori nyama utazikuta.
Yuko wapi Mwanaharakati MUSIBA?
Aje atuambie kwani yeye alikuwa msemaji mkuu.
Au na yeye ni mmojawao kina OLE??
 
RPC ARUSHA? Impossible lakin , sababu wanaoshitaki ni PCCB . Hii siyo conflict of interest?
Kosa la jinai unashtakiwa na jamhuri kesi ya madai ndiyo individuals wanashtakiana.

Kwahiyo hakuna mkanganyiko wa kimaslahi ikatokea ni lazima awe shahidi ili kesi isonge mbele.
 
Labda ni kuhusu ule mzigo wake ulioshikwa na TRA bandarini.
 
Daah! ingekuwa poa kweli yaani.

Kwa nini baadhi yenu mko overly obsessed na MAKONDA?? Mawazo yenu yaliyo sheheni fitina,uchonganishi na wivu mnataka/lazimisha Mamlaka imu-equate Makonda na Sabaya as if they are self SAME!!

Don't you 4get kwamba siku za hivi karibuni Mamlaka ina ongozwa na binadamu mwenye/wenye hekima, busara na UTU, hivyo si rahisi kuwa flip flopped na watu wasio watakia wenzao mema kama nyinyi.
 
Two different issues ,,, ukali*** hali** jaribu kujiongeza next time ...
 
Bashite hajakamatwa. Kinachofanyika ni
(a) kuua credibility ya "flani."
(b) kuwabaini wanaompatia taarifa
(c) kumsogeza ndani ya 18
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…