The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,459
Mange Kimambia anahoja na ametuomyesha mambo yaliyotokea kwenye giza je baada ya anayotaka yakatokea lengo lake ni lipi haswa? Je utarudi Tanzania ? Au utaendlea kukosoa serikali ya Tanzania
MANGE KIMAMBI aje before Dec 9 aandamane na mimi akija nitaandamana kabisa ndo nijue kweli wewe una uchungu Nakuchukia ila sitaki nikulaani maana nilikulaani utakufa.
MANGE KIMAMBI aje before Dec 9 aandamane na mimi akija nitaandamana kabisa ndo nijue kweli wewe una uchungu Nakuchukia ila sitaki nikulaani maana nilikulaani utakufa.