Ni kweli mapenzi hayana umri?

Huwezi jua labda wamezijaribu hizo show...siku hizi mambo yamekuwa mengi sana
Hata kama wamezijaribu, kwa chinova ni tofauti na Tigo. Kila kitu kina dhumuni kuu la kuumbwa usisahau
 
Mapenzi hayana umri kama we unasema yanayo utuambie ni miaka mingapi

[emoji23]
 
hawa wazee wa kiume wanapenda sana dogodogo. Na mimi nikipata jimama au mbibi nikamwelewa, lazma nitupie ndoano/nimle saundi.

Maana nako kuna mijimama na wabibi wako hot kwelikweli na mishepu yao. Ng'ombe hazeeki maini, ni mwendo wa kutafuna tuu.

Mapenzi hayachagui rika/umri.
 
Tayari wana mtoto wa miezi saba hawa
 
Huyo mzee mpunga anao

Kwa wakaz wa ngulelo had ilboru nadhan wanamfahamu huyu ndye mmiliki wa ile hotel ya kitalii ya ILBORU SAFARI LODGE Kuna kipind iliungua ila bima ilicover

Huyo dada anamalizia tu pensheni ya mzee kabla mola hajamchukua

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mke ameenda kuchuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…