Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Tulisoma katika biology kuwa hiyo inaitwa symbiosis/mutualism - Dada analeta ujana mezani na mzee analeta pesa kwenye meza. Both team wins (win-win situation - JPM).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana kwa niniUlaya sawa,Afrika hapana.
Unaishi nayeDaaah Mwanangu mm Nina Demu ana 45 na natembea na watt wake Wa kike wa2 ambapo mmoja ana 26yrs mwingine ana 24yrs.
Wa kwetu Umri ni Namba mambo mengine yanaenda Sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi jua labda wamezijaribu hizo show...siku hizi mambo yamekuwa mengi sanaTatizo wavulana wanajifanya wanajua show za wazee kuzidi wadada hapa JF
Hata kama wamezijaribu, kwa chinova ni tofauti na Tigo. Kila kitu kina dhumuni kuu la kuumbwa usisahauHuwezi jua labda wamezijaribu hizo show...siku hizi mambo yamekuwa mengi sana
Napingana na wewe unatafuta hela mpk age ya 78 nguvu zote kwisha utamfaidi vipiTutafute fedha tu. Mambo Mengine yatajiset yenyewe.
hawa wazee wa kiume wanapenda sana dogodogo. Na mimi nikipata jimama au mbibi nikamwelewa, lazma nitupie ndoano/nimle saundi.Wakuu Mzee Canal Metili (78) akikata keki na mkewe (27) tarehe 08/01/2022 Nyumbani kwake llboru-Arusha
Hii ni kama Mzee Wangu Anatafuta Kifo Mapema Huyu.
Huyu Mzee Yuko Kwenye hostile environment [emoji3][emoji3][emoji3].
Yakishampata asije akaja na Law of the jungle survival for the fittest.
Akiweza kuhimili mikiki ya Huyo Binti basi ata delivery zitaonekana kwa naked eyes.
Tayari wana mtoto wa miezi saba hawaWakuu Mzee Canal Metili (78) akikata keki na mkewe (27) tarehe 08/01/2022 Nyumbani kwake llboru-Arusha
Hii ni kama Mzee Wangu Anatafuta Kifo Mapema Huyu.
Huyu Mzee Yuko Kwenye hostile environment [emoji3][emoji3][emoji3].
Yakishampata asije akaja na Law of the jungle survival for the fittest.
Akiweza kuhimili mikiki ya Huyo Binti basi ata delivery zitaonekana kwa naked eyes.
Kuna show za wazee kali kuliko vijana.Uliza wadada
Mke ameenda kuchunaWakuu Mzee Canal Metili (78) akikata keki na mkewe (27) tarehe 08/01/2022 Nyumbani kwake llboru-Arusha