Ni kweli mapenzi ya wizi ni matamu kuliko katika ndoa halali?

Ni kweli mapenzi ya wizi ni matamu kuliko katika ndoa halali?

yuda75

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
520
Reaction score
1,385
Mapenzi ni kitu ambacho kinafanya wapenzi kufurahia wakiwa pamoja lakini kwa sasa kumekuwepo kwa kusalitiana katika mahusiano.

Imekuwa kama kawaida mwanamke/mwanaume kuwa na mchepuko huku tayari yupo kwenye ndoa yake.

Kwa nyakati za sasa uzinifu si kitu cha ajabu tena.Wahusika wanadai kufaidi uasherati kuliko tendo la ndoa.Kumekuwepo kuchokana kwa wawili walio katika ndoa na kufanya mmojawapo ajaribu kutafuta kuridhishwa nje ya ndoa.Jamii yahitaji kuelimishwa juu ya kuridhishana katika ndoa kwani itafikia mahali ndoa itakuwa ni ya jina tuu.

Tusaidiane katika Kushauriana, Unafikiri nini chanzo cha utamu wa mapenzi ya kuchepuka kuliko mapenzi ya ndoa halali?
 
Unatakiwa uelewe kuwa huouasherati ni mtamu kwa sababu huyo demu hukutani nae kila siku.

Haulali nae pamoja,hauamki nae pamoja,hauli nae pamoja na wala hufanyi nae kitu pamoja.

Sasa hapo demu kuja kwemyewe atazingua mara kibao huku anakuacha wewe na hamu,siku akija unakuwa una nyege mingi sana unaona mapenzi matamu kumbe wapi.

Ukitaka kuamini wewe kaa na mkeo wiki nzima,kula tende karanga njugu na maugwadu yote kama unayokula kwa ajili ya kujiandaa na mchepuko alafu,nenda kwenye game na wife wako.

Vinginevyo useme huyo mwanamkke hana mafanyaji na manjonjo kunako kitanda.
 
Back
Top Bottom