Damian J Ntundagi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2017
- 1,652
- 2,355
Wangekua na uwezo huo kusingekuwepo na taifa la iran duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... ugonjwa wenyewe umefika hadi huko Marekani; angekuwa mjinga kiasi gani kufanya hivyo kwa kitu ambacho kingemuathiri yeye mwenyewe? Conspiracies!Inasemekana Marekani ameifanyia China umafia kwa kupandikiza virusi vya CORONA ili kushusha uchumi wake.
Ukumbuke migogoro ya kibiashara kati ya USA na CHINA inazidi kushusha uchumi wa China kwa kasi ya ajabu.
Ata ukimwi Marekani upo mkuu, conspiracies pia zinasema aliuleta yeye kucontrol population... ugonjwa wenyewe umefika hadi huko Marekani; angekuwa mjinga kiasi gani kufanya hivyo kwa kitu ambacho kingemuathiri yeye mwenyewe? Conspiracies!
Wee umeamini hilo?Inasemekana Marekani ameifanyia China umafia kwa kupandikiza virusi vya CORONA ili kushusha uchumi wake.
Ukumbuke migogoro ya kibiashara kati ya USA na CHINA inazidi kushusha uchumi wa China kwa kasi ya ajabu.
Inasemekana Marekani ameifanyia China umafia kwa kupandikiza virusi vya CORONA ili kushusha uchumi wake.
Ukumbuke migogoro ya kibiashara kati ya USA na CHINA inazidi kushusha uchumi wa China kwa kasi ya ajabu.
Hizi ni hadithi za mitaani hazina solid evidence. Chuki tu zinawasumbua dhidi ya US.
Bro umemaliza kila kitu.Kuna kitu kimoja muhimu cha kujuwa USA na China sio wapinzani kama wa Simba na Yanga hizi nchi 2 pamoja na ushindani wa kimaendeleo lakini hawaombeani mabaya sababu kubwa nchi moja ikianguka ni mbaya kwa nyingine kiuchumi na sababu kubwa wanategemeana sana kwa mambo mengi kununua na kuuza.
Ndio maana ile miaka uchumi ukidororoa duniani basi wote wanapata shida dunia ya kiuchumi ni kama kijiji.
Iran sio China mkuu.Mimi naamini walishajaribu kupandikiza Iran kama walivyojaribu kupandikiza Ebola Tanzania wakashindwa.Wairan wanajua Wamarekani wanaweza kufanya hili jambo,kwa hiyo wako alert sana.China kwa vile wageni ni wengi sana kwa sababu ya biashara za kimataifa somehow ni vigumu kuzuia jambo kama hilo.
Kwaiyo mkuu waathirika wote wa Corona virus waanze kubwia unga[emoji15]Sio kweli... Na hata kama ni kweli haiwezi kuwa public hivi karibuni View attachment 1346869
Jr[emoji769]
Na hii nayo ni ya kijiweni?Acha ujinga wewe,watu wanaangamizwa,halafu eti hizi ni story za vijiweni.Pumbafu kabisa.Nia yako naamini ni ku-water down ukweli huu,ili watu wasiuamini.Story za vijiweni...Nilitegemea kukuta story kama hivi siku moja.
Nimecheka sana mkuu.Mambo mengine ni upotoshaji wa wazi,wala huhitaji elimu sana kujua kwamba huu ni upotoshaji.Kwaiyo mkuu waathirika wote wa Corona virus waanze kubwia unga[emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app