Ni kweli Marekani anafadhili vikundi vya kigaidi?

Naona mnajitafuta wavaa makobazi
Ikawaje marekani walimuua osama?
Marekani ndio mdumisha amani dunia nzima.
 
Unataka kusema anatumia Quran tukufu kuwafakaranisha/kuwafitinisha ?
 
Na kama ni kweli, kwa nini dini yetu itumike kama kificho cha ugaidi? Kuna udhaifu gani katika mafundisho mtume wetu Mohamed ?
 
Jibu linaweza kua kweli ama hapana inategemea na reasoning na proofs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…