Ni kweli Marekani anafadhili vikundi vya kigaidi?

Ni kweli Marekani anafadhili vikundi vya kigaidi?

Hivyo vikundi vinapigana sababu ya mafundisho ya quran, hadithi na sunnah..

Labda tuseme mmarekani ndie alietunga hizo quran, hadithi na sunnah
Wanasema Quran na Hadith zinapotoshwa ili kuwahadaa vijana wasio na ajira kujiunga Kwenye ugaidi
 
Mfano tu ,wew BBC unaiamin katika ukweli ama uwongo?
Achana na BBC...kwani huko Duniani kwenye reality...Kuna ukweli usiofata mawazo ya watu wala propaganda?
Au kitu chochote kinaweza kuwa ukweli au Uongo
 
Elimu dunia iko chini. Reasoning iko taabani.

Prof Mussa Assad awezakuwa mtoa mihadhara mzuri kea vile hata elimu dunia yuko vizuri
 
Hii inawezekana lakini sio kwa kiasi hicho. Nadhani hii dhana ilipamba moto sana Kipindi Marekani wameungana na Kikundi cha Osama bin laaden kuutoa utawala Wa Russia katika ardhi ya afghanistan. Pia wamekuwa wakiungana na makundi mbali mbali ya waasi kuiangusha serikali fulani. Mfano Syria
 
USA never negotiate with terrorize
USA tunaweza kumuita terror hunter
hata humu Kama kunamtu anavitendo vya kigaid. wajue kua mkono wa USA ni mrefu atakushika tu.
 
Ni kweli Osama alijengewa uwezo na wamarekani Libya walitumika magaidi wa Al Qaeda tena walipewa silaha kumwondoa Gaddafi huko Syria magaidi wa ISIS walitumika kuitoa serikali siyo ugaidi hata biashara ya madawa ya kulevya inafanya na CIA
 
Back
Top Bottom