Ni kweli Marekani anafadhili vikundi vya kigaidi?

Ni kweli Marekani anafadhili vikundi vya kigaidi?

Ugaidi unafadhiliwa kwenye mavitabu yao huko
 
Leo msikitini tumeambiwa kuwa Marekani ndio mfadhili mkuu wa vikundi vya kigaidi kama ISIS, Al qaeda, Al shabaab, Uamsho na wengineo.

Je, wajuvi wa haya mambo, ni kweli?

Ijumaa Karim.
Huyu sio Muislam. Hivyo nawanasihi ndugu zangu Waislam msikubali kuingia katika mtego wake wa kuwaingiza katika mjadala usio na tija. Nimelielewa lengo lake.

Nawakumbusha tu.
 
Ugaidi unatokana na makundi katika nchi za kiislamu..ila magaidi ili yapate silaha huwa yana negotiate na wauza silaha ambao most ni Europe na us.

In return wao wanapata silaha huku us akiingiza pesa..its all about business..
Kila mtu anapata anachokitaka and the cycle continues.

Hakuna adui wala rafiki wa kidumu..bali malengo na maslahi ndio huleta uadui au urafiki.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ni kweli Osama alijengewa uwezo na wamarekani Libya walitumika magaidi wa Al Qaeda tena walipewa silaha kumwondoa Gaddafi huko Syria magaidi wa ISIS walitumika kuitoa serikali siyo ugaidi hata biashara ya madawa ya kulevya inafanya na CIA

Umesahau na ya viungo vya binadamu. Organs smugglers.
 
Naona mnajitafuta wavaa makobazi
Ikawaje marekani walimuua osama?
Marekani ndio mdumisha amani dunia nzima.
Ukweli ni kuwa Marekani inadumisha amani pale ambapo kuna inrerest zake, lakini pia inabomoa kwingineko Kuna wakati Marekani inakurupuka kujiingiza kwenye migogoro bila kutathimini, na matokeo yake huwa mabaya sana. Angalia Iraq, Afghanistan, na Libya. Walienda huko kwa kudhani ni kufika, kuteka, na kuondoka. Lakini imebidi waondoke kwa aibu baada ya kutumia mabilioni ya dollar bila mafanikio.
 
Back
Top Bottom