Vilainishi.
Huyu sio Muislam. Hivyo nawanasihi ndugu zangu Waislam msikubali kuingia katika mtego wake wa kuwaingiza katika mjadala usio na tija. Nimelielewa lengo lake.Leo msikitini tumeambiwa kuwa Marekani ndio mfadhili mkuu wa vikundi vya kigaidi kama ISIS, Al qaeda, Al shabaab, Uamsho na wengineo.
Je, wajuvi wa haya mambo, ni kweli?
Ijumaa Karim.
Ni kweli Osama alijengewa uwezo na wamarekani Libya walitumika magaidi wa Al Qaeda tena walipewa silaha kumwondoa Gaddafi huko Syria magaidi wa ISIS walitumika kuitoa serikali siyo ugaidi hata biashara ya madawa ya kulevya inafanya na CIA
Ndio.Vilainishi vinaruhusiwa Tanzania kisheria?
Ukweli ni kuwa Marekani inadumisha amani pale ambapo kuna inrerest zake, lakini pia inabomoa kwingineko Kuna wakati Marekani inakurupuka kujiingiza kwenye migogoro bila kutathimini, na matokeo yake huwa mabaya sana. Angalia Iraq, Afghanistan, na Libya. Walienda huko kwa kudhani ni kufika, kuteka, na kuondoka. Lakini imebidi waondoke kwa aibu baada ya kutumia mabilioni ya dollar bila mafanikio.Naona mnajitafuta wavaa makobazi
Ikawaje marekani walimuua osama?
Marekani ndio mdumisha amani dunia nzima.