Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,357 Reaction score 3,550 Jul 24, 2015 #21 Evelyn Salt said: Formula si ndio maziwa ya watoto kwa ujumla, then ndo kuna aina. we unaulizia yapi? Hayo nliokuambia yanaitwa S26 gold ndo bei yake hiyo Click to expand... Halaf nimechanganya madesa. Mimi hiyo 14k shs na 19k shs nilikua nikizungumzia lactogen. je kwa hizo bei lactogen ni kweli?
Evelyn Salt said: Formula si ndio maziwa ya watoto kwa ujumla, then ndo kuna aina. we unaulizia yapi? Hayo nliokuambia yanaitwa S26 gold ndo bei yake hiyo Click to expand... Halaf nimechanganya madesa. Mimi hiyo 14k shs na 19k shs nilikua nikizungumzia lactogen. je kwa hizo bei lactogen ni kweli?
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Jul 25, 2015 Thread starter #22 Tripo9 said: Halaf nimechanganya madesa. Mimi hiyo 14k shs na 19k shs nilikua nikizungumzia lactogen. je kwa hizo bei lactogen ni kweli? Click to expand... Aaah, sifahamu bei ya lactogen
Tripo9 said: Halaf nimechanganya madesa. Mimi hiyo 14k shs na 19k shs nilikua nikizungumzia lactogen. je kwa hizo bei lactogen ni kweli? Click to expand... Aaah, sifahamu bei ya lactogen
Nyalotsi JF-Expert Member Joined Jul 20, 2011 Posts 6,986 Reaction score 5,058 Jul 25, 2015 #23 wamama nyonyesheni watoto wenu pale inapobidi ni muhimu sana. hiyo ya maziwa kuleta cancer labda ni new study!!!
wamama nyonyesheni watoto wenu pale inapobidi ni muhimu sana. hiyo ya maziwa kuleta cancer labda ni new study!!!