Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,357
- 3,550
Halaf nimechanganya madesa. Mimi hiyo 14k shs na 19k shs nilikua nikizungumzia lactogen. je kwa hizo bei lactogen ni kweli?Formula si ndio maziwa ya watoto kwa ujumla, then ndo kuna aina.
we unaulizia yapi? Hayo nliokuambia yanaitwa S26 gold ndo bei yake hiyo